Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

Shabiby kaa mbali na huyo mwanamke. Ni mchepuko wa boss mkubwa. Achia ubunge na kila kitu. Endelea tu na biashara zako.

Huu ni ushauri wa bure, utafilisiwa, utasingiziwa kesi na ubunge utakosa.

USIJE UKASEMA SIKUKUAMBIA!.
Shabiby hahusiki hapa. Ishu ni mwanyekiti na DC
 
Shabiby kaa mbali na huyo mwanamke. Ni mchepuko wa boss mkubwa. Achia ubunge na kila kitu. Endelea tu na biashara zako.

Huu ni ushauri wa bure, utafilisiwa, utasingiziwa kesi na ubunge utakosa.

USIJE UKASEMA SIKUKUAMBIA!.
Huyo mama ni mke wa Prof Mchembe,katibu mkuu Wizara ya afya. Inawezekana mama anataka kugombea ubunge huko maana ni kwao pia.
 
Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo.

Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali amenunuliwa na waziri wa Katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba. Mwenyekiti amesema yeye pia ni msaidizi wa Dkt. Mwigulu jimboni Iramba akisimamia mahusiano ya mbunge na Waislamu hivyo amenunuliwa gari hiyo kama kitendea kazi.

Kuhusu kuchunguzwa mwenyekiti amesema ni kweli aliitwa Takukuru wilayani na wakamwambia tuhuma hizo ni za kisiasa hivyo jalada limepelekwa Dodoma ambako alihojiwa Ijumaa iliyopita na sasa anasubiri majibu.

Mwisho mwenyekiti amebainisha kuwa mkuu wa wilaya ni mtu mkorofi na kwamba anataka kugombea ubunge wa jimbo hilo na kila wakati amekuwa anawatisha kwamba yeye ana ulinzi wa kigogo aliye juu.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!

Johnthebaptist,
Ni rushwa hongo, ila taarifa ina mapungufu mfano DC wa Gairo ni nani, pia DC kuwa msaidizi wa mbunge Mwigulu Nchemba hii ina utata. Tunajua wabunge wana ofisi na wasaidizi.
 
Ishu iko hivi; huyo mwenyekiti alikabidhiwa gari hilo kwenye hoteli ya Morena ambayo ni ya Shabiby. DC akajua, Shabiby ndiye aliyemnunilia wakati sivyo. Hata Mwigulu mwenyewe hakutoa pesa cash yote ili kununuliwa gari hilo, Verosa maruni bali alichangia kiasi cha pesa kwa sababu mwenyekiti huyo ni msaidizi wake jimbo la Iramba hata kabla hajawa mwenyekiti CCM Gairo. Hata kwenye sikukuu ya Idi Nzega, mwenyekiti na Mwigulu walikuwa wote.
Huyu DC atafakari kwa kina mahusiano yake na viongozi. Alishawahi kutofautiana na Shabiby miaka kama mitatu nyuma. Leo kusikia anataka jimbo la Gairo (kama ni kweli), naweza kusema 'inawezekana' ndiyo maana figisu kibao.
Kwa ishu hii, kama mwenyekiti mwenyewe anakiri kununuliwa gari na Mwigulu na hakuhongwa na Shabiby, ina maana DC amemsingizia mbunge huyo. Iko haja ya DC kutafakari kwa kina uhusiano wake na viongozi wengine ili asitafsirike kuwa ana chuki ya waziwazi kwa Shabiby.
 
Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo.

Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali amenunuliwa na waziri wa Katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba. Mwenyekiti amesema yeye pia ni msaidizi wa Dkt. Mwigulu jimboni Iramba akisimamia mahusiano ya mbunge na Waislamu hivyo amenunuliwa gari hiyo kama kitendea kazi.

Kuhusu kuchunguzwa mwenyekiti amesema ni kweli aliitwa Takukuru wilayani na wakamwambia tuhuma hizo ni za kisiasa hivyo jalada limepelekwa Dodoma ambako alihojiwa Ijumaa iliyopita na sasa anasubiri majibu.

Mwisho mwenyekiti amebainisha kuwa mkuu wa wilaya ni mtu mkorofi na kwamba anataka kugombea ubunge wa jimbo hilo na kila wakati amekuwa anawatisha kwamba yeye ana ulinzi wa kigogo aliye juu.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Kazi yetu ni kuchochea kuni
 
Johnthebaptist,
Ni rushwa hongo, ila taarifa ina mapungufu mfano DC wa Gairo ni nani, pia DC kuwa msaidizi wa mbunge Mwigulu Nchemba hii ina utata. Tunajua wabunge wana ofisi na wasaidizi.
Bwashee jina la DC sikulisikia vizuri luningani!
 
Back
Top Bottom