Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

Hapa wengi wetu hatusomi Bible nakama tunasoma hatutafakari kwa makinii ili kuelewa nini kunamaanishwa hivi vitabi vya dini maandiko yaliyomo mule mengi nimafumbo inabidi kusoma kwa utulivu wa hali ya juu nalutafakari,,,,, hilo somo linatoka katika kitabu cha mwanzo watu wengi wsgalielewi,,, mwenzenu mvivu kuandika ningefafanua kwa kina mnielewe but km kuna mwenye shida ya kuelewa vzr aniatfute kwa muda wake,,,,,

Umeruka kutoka wapi mkuu maana ni kama umeshuka ardhini kwa kishindo. Cha kwanza tujue Adam hakushawishiwa na hawa Bali alikula kwa hiari baada ya kujua kuwa hawa ameshakula. Na ukumbuke kuwa Adam ndio aliambiwa ukila utakufa. Hivo Adamu alijua tu kuwa EVA ameshakula hivo atakufa tu Adam aliogopa kuwa single boy tena akikumbuka alisota alone bustanini 30yrs. Hivo alikula kwa kuwa alimpenda sana mwenzake hivo akaona bora tufe wote. Ndio maana Adam alikula. Pia huo mti haukufika duniani kwa kuwa upo mmoja na matunda yake hayana mbegu.
 
Mi nafikiri kula tunda la kati kati sio dhambi kwa sababu kama ingekua dhambi hakukua na haja ya kuumba mungu angeung'oa mapema
 
Mi nafikiri kula tunda la kati kati sio dhambi kwa sababu kama ingekua dhambi hakukua na haja ya kuumba mungu angeung'oa mapema
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Umeruka kutoka wapi mkuu maana ni kama umeshuka ardhini kwa kishindo. Cha kwanza tujue Adam hakushawishiwa na hawa Bali alikula kwa hiari baada ya kujua kuwa hawa ameshakula. Na ukumbuke kuwa Adam ndio aliambiwa ukila utakufa. Hivo Adamu alijua tu kuwa EVA ameshakula hivo atakufa tu Adam aliogopa kuwa single boy tena akikumbuka alisota alone bustanini 30yrs. Hivo alikula kwa kuwa alimpenda sana mwenzake hivo akaona bora tufe wote. Ndio maana Adam alikula. Pia huo mti haukufika duniani kwa kuwa upo mmoja na matunda yake hayana mbegu.
Mmh. . ngoja kupambazuke nitakuja na Maswali yenye kuhitaji ufafanuzi
 
Hapa wengi wetu hatusomi Bible nakama tunasoma hatutafakari kwa makinii ili kuelewa nini kunamaanishwa hivi vitabi vya dini maandiko yaliyomo mule mengi nimafumbo inabidi kusoma kwa utulivu wa hali ya juu nalutafakari,,,,, hilo somo linatoka katika kitabu cha mwanzo watu wengi wsgalielewi,,, mwenzenu mvivu kuandika ningefafanua kwa kina mnielewe but km kuna mwenye shida ya kuelewa vzr aniatfute kwa muda wake,,,,,
Najitolea kukutafuta kwa muda wangu Jovitha niambie tu lini na wapi
 
Asante kwa ufafanuzi ila naona bado hujanipata
-ni nani alimwambia Adam kama wako uchi?
-kwanini kwenye mwili mzima walifunika 'sehemu za siri tu' (na kwanini ziitwe sehemu za siri?)
Kwanini kanisani dhambi inayokufanya utengwe ama kwanini kuna ibada maalum ya kurudishwa kundini ukizaa bila ndoa?
Mkuu wamejijua kuwa wapo uchi baada ya akili zao kufunuliwa kutokana na kula tunda. Mwanzoni waliishi lkn sehemu ya maarifa hawakuwa wamefunuliwa. Mfano ni kama vile wanyama wanapandana kaka na dada, mama na mtoto nk lkn hawaoni tatizo ni kwasababu hawajafunuliwa maarifa tuliyonayo sisi. Naamini tunda lililoliwa ni tunda kama tunda wala sio ngono.
 
Someni Qur'an mpate kuelewa. Haina upuuzi huo.

Sikilizeni kisa cha nabii Adam Alayhi Salaam:

Salaams All. Recommend the Mufti Menk 'Stories of the Prophets' series- kindly compiled below by his son 16 year old son Ibrahim (May Allah swt bless him!) for your convenience in one message. They are a brilliant breakdown of prophetic stories within our beautiful blessed book told with wisdom, context and detail. Pls share the khair- pass on to others and remember us in your duas.
01~Introduction To Stories of the Prophets,

02~Creation Of Aadam (AS),

03~Aadam (AS) on Earth- Part 1,

04~Aadam (AS) On Earth- Part 2,

05~Sheeth (AS),

06~Idrees (AS),

07~Nuh [Noah] (AS),

08~Hud (AS),

09~Saalih (AS),

10~Ibrahim [Abraham] (AS)- Part 1,

11~Ibrahim [Abraham] (AS)- Part 2,

12~Ibrahim [Abraham] (AS) and Ismaeel (AS)- Part 3,

13~Ibrahim [Abraham] (AS) and Ismaeel (AS)- Part 4,

14~ Lut [Lot] (AS),
Stories Of The Prophets-14~ Lot [Lut] (AS)
15~Yaqub [Jacob] (AS) and Yusuf [Joseph] (AS)- Part 1,
Stories Of The Prophets-15~Yaqub (AS) and Yusuf (AS) - Part 1
16~ Yusuf [Joseph] (AS)- Part 2,
Stories Of The Prophets-16~ Yusuf (AS) - Part 2
17~Yusuf [Joseph] (AS) - Part 3,
Stories Of The Prophets-17~Yusuf (AS) - Part 3
18~Ayoub [Job] (AS) and Yunus [Jonah] (AS),
Stories Of The Prophets-18~Ayoub [Job] (AS) and Yunus [Jonas] (AS)
19~Musa [Moses] (AS) and Haroon [Aron]- Part 1,
Stories Of The Prophets-19~Musa [Moses] (AS) and Haroon [Aron] (AS)
20~Musa [Moses] (AS) and Haroon [Aron]- Part 2,
Stories Of The Prophets-20~Musa [Moses] (AS) and Haroon [Aron] (AS) - Part 2
21~Musa [Moses] (AS) and Haroon [Aron]- Part 3,
Stories Of The Prophets-21~Musa [Moses] (AS) and Haroon [Aron] (AS) - Part 3
22~Musa [Moses] (AS) and Bani Isreal- Part 1,
Stories Of The Prophets-22~Musa [Moses] (AS) and Bani Israel - Part 1
23~Musa [Moses] (AS) and Bani Isreal- Part 2,
Stories Of The Prophets-23~Musa [Moses] (AS) and Bani Israel - Part 2
24~Shoaib (AS),
Stories Of The Prophets-24~Shoaib (AS)
25~Musa, Uzair, Hizqeel, Yushua and Dawud (AS)- Part 1,
Stories Of The Prophets-25~Musa, Uzair, Hizqeel, Yushua, Dawud (AS) - Part 1
26~Dawud [David] (AS)- Part 2,
Stories Of The Prophets-26~Dawud [David] (AS) - Part 2
27~Sulayman [Solomon] (AS),
Stories Of The Prophets-27~Sulayman [Solomon}] (AS) - Part 1
28~Sulayman [Solomon]- Part 2, Ilyaas, Dhul Kifl, Zakariyyah and Yahyhua (AS), h
Stories Of The Prophets-28~Sulayman P2 , Ilyaas, Dhul Kifl, Zakariyyah, Yahya (AS)
29~Isa [Jesus] (AS),
Stories Of The Prophets-29~Isa [Jesus] (AS)
 
Mi nafikiri kula tunda la kati kati sio dhambi kwa sababu kama ingekua dhambi hakukua na haja ya kuumba mungu angeung'oa mapema
Na tusingeongezeka kuijaza dunia kama aliyetuumba alivyosema [HASHTAG]#zaeni[/HASHTAG] muongezeke muijaze dunia
 
Ipi ina upuzi kwa akili yako, jaribu kuheshimu nyumba ya jiran yako pale uzio wa nyumba yako unapoishia
 
Hahahaa wewe tu tafuta sehemu tulivuuu kbsaaaa ambapo nitakufafanulia kwa kinaa[emoji6]
[emoji109] [emoji116] [emoji817] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781] sehemu tulivuuu[emoji106]
 
ukisoma sura ya 3 nzima ya kitabu cha mwanzo kwa kutumia logic tu kutoka kwenye mistari ya biblia hata bila kuomba muongozo wa Roho Mtakatifu utagundua kuwa adam na eve hawakufanya ngono ila walikula matunda kama matunda.
kuna Mtu anaweza jiuliza kwanini MUNGU aliuumba huu mti katikati ya bustani na pamoja na miti mingine na kwanini miti mingine aliwaruhusu kula matunda yake ila si mti wa katikati? noamba nilijibu ili swali kama ifuatavyo; wote tunafahamu kuwa ibilisi kabla ya kuasi au kukosa utii kwa MUNGU MUUMBA wetu alikuwa sehemu ya malaika tena inasemekana kuwa alikuwa malaika mkubwa tu, lakini alikataa amri ya MUNGU aliyawaamuru wote wamusalimu baba ADAM, ndio pale MUNGU alimlaani na kumfukuza mbinguni. hii pekee inatupa jibu kwamba BABA MUNGU alikumbana na kitendo cha kiumbe alichokiumba mwenyewe kutokutii amri na maelekezo yake na ndio maana hata baada ya kumuumba ADAM katika bustani ya edeni aliamuua kuweka utaratibu wa kupima utii wa viumbe wake ADAM na EVE na baada ya kushawishiwa na nyoka na kuamua kutokutii amri ya MUNGU kwa kula moja ya matunda ya mti wa kati mwisho walifukuzwa kwenye bustani ya edeni kama shetani alivyofukuzwa mbinguni. ukubwa, ukuu na madaraka ya juu yalimfanya shetani ajihisi naye yupo kwenye hadhi ya MUNGU ndio maana aliona kama dharau kumpa heshima ADAM aliyeumbwa kwa mavumbi na hata kwa mama yetu EVE maneno yaliyo mvuruga hata kutomtii MUNGU ni ile tamaa ya ukubwa, ukuu na madaraka "ndipo nyoka akamwambia mwanamke: hakika hamtakufa kwa maana MUNGU anajua kwamba siku ileile mtakapokula matunda yake macho yenu yatafunguliwa nanyi mtakuwa kama MUNGU, mkijua mema na mabaya" EVE alikengeuka na kupata tamaa ya kufanana na MUUMBA wake (hi ni balaa kubwa).
anayesema tunda la mti wa katikati ni ngono aje aniambie basi walipoambiwa matunda ya miti mingine kuzunguka bustani wale ila si mti wa katikati ni kusema waliruhusiwa kula denda na kupapasana ila si kufanya mapenzi?
msilie matunda ya mti wa katikati si tunda ni matunda ila kwa dhana ya ngono mwanamke anatunda moja tu. mwanzo 3:22-24 : na Yehova MUNGU akaendelea kusema: "tazama huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu kwa kujua mema na mabaya na sasa ili asije akanyoosha mkono wake achukue matunda ya mti wa uzima na kula na kuishi mpaka wakati husio na kipimo. kwahiyo yehova MUNGU akamwondoa katika bustani ya edeni ili aulime udongo katika huo alikuwa ametolewa. na basi akamfukuza huyo mtu, akaweka akaweka upande wa mashariki wa bustani ya edeni makerubi na upanga unaowaka ambao ulikuwa unajizungusha-zungusha ili kulinda njia ya kwenda kwenye ule mti wa uzima.
NAOMBA NIKUPE TAARIFA KAKA MSHANA JR NDANI YA BUSTANI YA EDENI SIO KULIKUWA NA MTi WA KATIKATI TU PIA KULIKUWA NA MTI WA UZIMA AMBAO KAMA ADAM NA EVE WANGEPATA KULA MATUNDA YAKE WANGEISHI KWA WAKATI HUSIO NA KIPIMO
 
NAKED; NAKEDNESS

na'-ked, na'-ked-nes:

"Naked" in the Old Testament represents various derivatives of `ur and `arah chiefly, `arom (adj.) and `erwah (noun); in the New Testament the adjective is gumnos, the noun gumnotes, with verb gumneteuo, in 1 Corinthians 4:11. In Exodus 32:25; 2 Chronicles 28:19, the King James Version adds para`, "break loose," "cast away restraint." Both the Greek and Hebrew forms mean "without clothing," but in both languages they, are used frequently in the sense of "lightly clad" or, simply, "without an outer garment." So, probably, is the meaning in John 21:7--Peter was wearing only the chiton (see DRESS); and so perhaps in Mark 14:51,52 and Micah 1:8. In Isaiah 20:2-4, however, the meaning is literally (for the "three years" of Isaiah 20:3 see the commentaries). So in Genesis 2:25; 3:7, where the act of sin is immediately followed by the sense of shame (see Delitzsch, Biblical Psychology, and Gunkel, at the place). A very common use of "naked" is also "without proper clothing" (Job 22:6; 1 Corinthians 4:11, etc.), whence, of course, the expression "clothe naked." "Nakedness," in addition, is used as an euphemism in 1 Samuel 20:30. A slightly different euphemistic usage is that of Leviticus 18:19, which in Ezekiel 16:36,37 is played off against the literal sense (compare Ezekiel 22:10; 23:18,29). The point of Genesis 9:22,23 is a little hard to grasp, but apparently there is here again an euphemism--this time for a particularly horrible act (see the commentaries and compare Habakkuk 2:15). Possibly some of these euphemisms are due to the Massoretes (see TEXT OF THE OLD TESTAMENT). The Jews objected vigorously to exposure of the body (even athletes insisting on a loin-cloth (compare 2 Macc 4:12,13)), and compulsory nudity was the extreme of shame and humiliation (Isaiah 20:2-4; Lamentations 1:8; Hosea 2:3; Nahum 3:5, etc.). The relation of this attitude to Israel's high sexual morality needs no explanation.
 
SWALI. JE Je kama hawa asingekubali kulaghaiwa na nyoka (ibilisi) Je wanadamu tungekuwaje?
spencer-tunick-mardi-gras2.jpg
spencer-tunick-dublin.jpg
naked.jpg
 
LEVITICUS 18:7-16

7. You shall not uncover the nakedness of your father, which is the nakedness of your mother; she is your mother, you shall not uncover her nakedness.
8. You shall not uncover the nakedness of your father's wife; it is your father's nakedness.
9. You shall not uncover the nakedness of your sister, your father's daughter or your mother's daughter, whether brought up in the family or in another home.
10. You shall not uncover the nakedness of your son's daughter or of your daughter's daughter, for their nakedness is your own nakedness.
11. You shall not uncover the nakedness of your father's wife's daughter,brought up in your father's family, since she is your sister.
12. You shall not uncover the nakedness of your father's sister; she is your father's relative.
13. You shall not uncover the nakedness of your mother's sister, for she is your mother's relative.
14. You shall not uncover the nakedness of your father's brother, that is, you shall not approach his wife;she is your aunt.
15. You shall not uncover the nakedness of your daughter-in-law; she is your son's wife, you shall not uncover her nakedness.
16. You shall not uncover the nakedness of your brother's wife; it is your brother's nakedness.
 
Back
Top Bottom