Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

emoji15.png
emoji23.png
emoji779.png
Na Adamu alimjua Eva baada yakujua mema na mabaya.
[emoji15] [emoji23] [emoji779]
 
Nini tafsiri ya uchi? Ama nini tafsiri ya kukaa uchi? Uchi wa mwanamke ni kitu gani? Ama uchi wa Mwanaume ni kitu gani?
Lakini kuna uchi wa mnyama, kuna uchi wa mbuzi kuna uchi wa mtoto....!!! Uchi ni utupu eneo lote tangu chini ya kitovu na juu ya mapaja.... Hapo katikati ndipo panapokaa uchi, penye uchi......
Baada ya kula tunda la mti wa kati( mti wa ujuzi wa mema na mabaya) Adam na Eva wakajijua wako uchi... Ni nani aliwaambia kuwa wako uchi? Maana Bwana Mungu aliposhuka Bustanini na kumuita Adam, alisita kujitokeza na kusema yu uchi...[emoji779] [emoji779] [emoji779]
f9a137352f02f973d3a59cfdc62fb3dc.jpg

Hata hivyo kwanini baada ya kujijua wako uchi walichukua majani na kujiziba zile sehemu tuu (chini ya kitovu na juu ya magoti? Kwanini hawakujifunika sehemu nyingine yoyote ya mwili?
Bila hili fumbo kufumbuliwa hizi mada hazitaisha lakini pia jiulize kwanini anayerudishwa kundini kanisani ni yule aliyebeba mimba na kujifungua nje ya ndoa? Kwani ni wangapi ni wadhambi kuliko huyo?
Kwanini binti anayepata mimba shule anafukuzwa bila kujali alikuwa na nidhamu kiasi gani?
Fumbo la Eden ni siri isiyo siri
Kitabu cha Mwanzo"Genesis"-Old Testament kinaukakasi mwingi hasa hii story ya Adam na Hawa.

Mkuu Jiulize kwanza, Mungu alijuwa watakula Tunda au Hawatakula Tunda...?
 
Na Adamu alimjua Eva baada yakujua mema na mabaya.

Kitabu cha Mwanzo"Genesis"-Old Testament kinaukakasi mwingi hasa hii story ya Adam na Hawa.

Mkuu Jiulize kwanza, Mungu alijuwa watakula Tunda au Hawatakula Tunda...?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Someni maandiko ya Biblia vizuri, acheni kufikiria ngpno tu kuhusu dhambi ya Adamu na Eva.
swali ni ,kwa nini amefunika chini ya kitovu na sio kisogoni ama kwenye makwapa?ama nyuma?
Biblia haituambii kama walishaambiwa kuwa uchi ni hizo sehemu walizofunika.
Hata miye nilikuwa nayauliza sana hayo maswali kipindi niko sekondari kwa walimu wa dini kila ijumaa
 
Binafsi Mr mshana sikatai kuwa hili fumbo miongoni mwa mafumbo katika Bible, ila kumbuka biblia usomaji wake si ka vitabu vingine, wasomaji wa biblia huwa wanaomba roho wa MAARIFA na hekima katika kulisoma neno, kila imani ina meditation husika, hata ukristo una hicho kitu, Christians don't read the Bible, but meditate the word of God,
Hilo si fumbo kama ilivo to Nations,
Hivi unajua hawa watu hawakuzini kama mataifa yafundishavo, au kama tafsri wanayoitoa WATU, hawa WATU hawakuzini kwa sababu mpaka inakuwa vile MUNGU alishamuumba Eva na kuwaagiza wakazae waongezeke katika USO wa dunia, sasa hata ukitazama kwa jicho moja hawa WATU wangeliwezaje kuzaa bila kushiriki tendo,
BIBLIA INA MAFUMBO LAKINI PIA BIBLIA HAINA MAFUMBO
 
Wapendwa, hebu nisaidie kidogo. Adamu na Hawa, wakati wa uumbaji, Mungu aliwaumba kwa ukamilfu, wakiwa na ufahamu uitwao "simple consciousness" sawa na walivyo wanyama , tofauti ya Adamu na wanyama ili kuwa ni ule uumbaji mwenyewe, yaani Adamu alifinyangwa toka udongo kwa mikono ya Mungu kisha kupuliziwa pumzi ya Uhai. Wanyama hawakufinyangwa Bali alisema neno tu.. Ukiangalia wanyama walivyo, utaona wana akili kamili, tena wana uwezo wa kupambanua mambo. Tazama jinsi mbwa alivyo. Mbwa wamewahi kuokoa watoto na hata watu wazima katika hatari. Tena mbwa wameweza kutumwa hata madukani na kurudisha chenji kamili. Sasa basi, ujue mbwa hawa na aibu kwa sababu akili yao uko katika daraja la "simple consciousness". Hawaoni kuwa wako uchi.. Na Adamu na Hawa nao walikuwa vile soma Mwanzo2: 25..Kabla sijaendelea napenda kuweka mambo sawa kuhusu tunda na mti wa mema na mabaya.. Miti uliokuwa umeoteshwa katikati ya bustani ya Eden, ni mti kama miti ya kawaida, na sio mwili wa Hawa. Na like tunda ni tunda kama yalivyo matunda ya miti na sio tendon la ngono. Biblia haina sababu ya kuficha neno iliandike kwa mafumbo .. Kila neno lililoandikwa katika Biblia liko wazi ni jinsi gani MTU atakaviisoma na kufunuliwa kuielewa..kumbuka ule MTU ulikuwa ni mti wa mema na mabaya. Hawa alipodanganwa na nyoka akala, akili yake ilibadilishwa kutoka katika simple consciousness, kwenda katika " cosmic consciousness". Kwa hiyo, wakati huo Hawa ndiye aliyejiona Yuko uchi. Wakati Adamu analetewa tunda na hawa, bado yeye alikuwa hajioni yu uchi mpaka pale alipokula ndipo naye akajiona yuko uchi.. Kwa hiyo, hata baada ya kijiona wako uchi, bado Adamu na Hawa walikuwa hawajaingliana kimwili. Soma Mwanzo 4:1..-Adamu akamjua Hawa mkewe (akamwingilia kimwili).. Swami ni nani aliyewaambia wako uchi ni Kule kubadika kwa akili kutoka "Simple consciousness, kwenda Cosmic Consciousness" . walijitambua mwenyewe.. Na isitoshe, hebu tumuanglie nyoka. Soma Mwanzo 3:1. Nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote... Kwa mini alikuwa mwerevu?. Maandiko hayasemi hili. Lakini huenda nyoka alikuwa wa kwanza kula hili tunda la mema na mabaya. Kwa nini?.Angalia jinsi nyoka alivyo. Nyoka huweza kubadilika kutoka katika nyoka mzee na kuwa nyoka kijana.. Wachunguzi wa maisha ya nyoka wanasema anaweza kuishi hata Marne labda auliwe na viumbe wengine. Inawezekana nyoka alikula hata tunda toka mti wa uzima kabla ya kumdanganya Hawa...
 
Katika hili swala kuna myths nyingi sana.The problem is hatutaki kufikiria nje ya dini,Everything we speak out soma Biblia ,soma Quran .Guys ,Biblia na Quran ni vitabu vya jana na juzi kulikua na maisha thousands of years kabda ya hivyo vitabu.

Yatupasa kuamini hivyo vitabu kutokana na imani zetu lakini havipaswi kutuzuia sisi kufikiria nje ya hivyo vitabu.

It is said that Adam na Hawa walikula psychoactive substance ( ambayo ndiyo ilichange state ya mind zao) ,kama umeshawahi kusikia Amanita muscaria ,hii ni mushroom [emoji265] ambayo ndiyo inasemekana walikula na ikawabadilisha ile perspective yao wakaanza kuona mambo tafauti kabisa na awali.They became aware of who they were .It makes really sense kwangu kuwa walichokula Adam na Hawa ni lazima kiwe kitu kilichobadilisha mtazamo wa mind zao (psychoactive substance) ,ni sawa na mtoto mdogo anaweza kukaa uchi at the age of 5 but akiwa na 12 yrs hawezi kukaa uchi,kwasababu mind yake ime change na yupo more aware kuwa yeye ni nani.So ,I assume that Adam na Hawa walikuwa na mind ya mtoto mdogo ,kila kitu kilikuwa ni sawa kwao ,hawafikiri Kesho ,they don't feel shy,they don't know their past ,hawaumizi kichwa juu ya future ,what they were enjoying was just the present,Eternal NOW,kama unavyoona maisha ya watoto wadogo tu,lakini baada ya kula Amanita muscaria (psychoactive substance) ,mind yao ilikuwa stimulated and more aware of who they are (mind awareness) ,the past ,the future started disturbing them ,the present was forgotten ,mind awareness ikawa very clear na hiyo ndiyo sababu ya wao kujificha baada ya kupata mind awareness.

Kwa wale ambao wameshawahi kutumia any psychoactive substance (Heroine ,cocaine,Cannabis etc ) ile the first feeling unayoipata (kwa mara ya kwanza unapoanza kutumia) ndiyo feeling inayowafanya watu washindwe kuacha,kwa sababu ile state ya mind uliyokuwa nayo mwanzo before kutumia ina change ,una acquire the new mind awareness ,you don't see the same world ,you see other beautiful world .Simaanishi watu wa try hizi psychoactive,No ,Unga ni devil in a chemical form ,never try ,I am saying what happened in Eden was just a game of mind ,they ate something,then mind was changed .Miili yao haikubadilika bali akili zao zilibadilika kwa kupata more awareness.Ninashawishika kuamini kuwa walikula kitu (Amanita mushrooms? ) na hicho kitu ni lazima kilikuwa psychoactive ambacho kiliwabadilisha wao uwezo wao wa kutizama mambo na kujijua zaid.

Sijui kama Mshana jr umeahawahi kukutana na concept kama hii ? .

—Najua ni hard to accept this ,but it might make sense too if you do some research •
 
Mk54 napenda kujifunza sana vitu vipya vitu vyenye utata, vitu visivyo na majibu.... Kuna points kadha hapa umezizungumzia which are very crucial... Kuna vitu vingi havina majibu kwakuwa our minds are so limited
Ngoja nikatifiti kuhusu huo uyoga, tunaweza kupata maarifa mapya zaidi
 
Binadamu ndy kiumbe cha mwisho kabisa kuumbwa...MUNGU aliumba KILA KITU...mbinguni na duniani...akampa binadamu akili ya kujuwa baya na zuri...na MBINGUNI akaumba pepo na moto...ibilisi akamdanganya EVA..kwamba lile tunda ni tamu kuliko matunda yote....lakini bado ni kitendawili..mti huo ni mti gani basi ambao leo duniani haupo?na mti huo unauhusiano gani na KUKAA UCHI? jibu linakuja..pengine mti huo na tunda hilo la mti wa kati lilikuwa mapajani mwa EVA...ndy maana baada ya kula wakajiona wapo uchi...na wakamkasirisha MUUMBA..na kila mmoja akapewa adhabu yake...mwanaume atapata riziki yake kwa jasho...na taabu na mwanamke atazaa kwa uchungu....
Ninakataa kuwa tunda la mti wa kati ni uchi kama wengi mnavyohisi. Ikumbukwe kwamba hilo agizo la kutokula tunda, Mungu alimpa Adam na sio eva (mti wa kati ulikuwepo hata kabla ya Eva kuumbwa) na eva alipewa maelekezo na adam juu ya nn afanye na nn asifanye. Jiulize kwann shetani hakumshawishi Adam. Ni kwasababu adam aliumbwa na upeo mkubwa hivyo iwapo nyoka angemwendea, lazima anhekumbana na vizingiti/maswali. 1. Nyoka ametoa wapi uwezo wa kuongea (pamoja na kwamba nyoka alikuwa mwerevu, hakuna kiumbe kilichokuwa kikizungumza)
2. Mti wa matunda pekee ndio ulikiwa na uwezo wa kufanya kiumbe cha wakati huo (kwa mujibu wa Mungu mwenyewe) kiweze kuzungumza. Hivyo adam angehoji nyoka amepata wapi maarifa.

Ndio maana alipita kwa mwanamke. Mwanamke ndiye anaweza kukukataa hata miaka mitano kwa maelezo kua ana mtu wake lakini ukimkazia anaachia. Hata mke wa mtu.

Tunda lilikua tunda na ndio maana Mungu akawafukuza eden na kuweka ulinzi ili wasije wakala tena wakaishi. Ingelikua ni sex, basi angewang'oa madudu yao wote na pengine hata kukojoa angeweka tundu mbadala
 
Bado mm hainiingii akilini....kama MUNGU alimuumba ADAM..na EVA akampa akili na uwezo wa kujuwa baya na zuri.... maana yake ni kwamba walikuwa wanajielewa.....haimaanishi baada ya kula tunda ndiyo walipata akili ya kujielewa..sababu MUNGU aliwapa akili na uwezo wa kujielewa tayari hata kabla ya kula tunda... ila aliwazuia kula tunda lile la mti wa kati..ndy maana baada ya kula tunda lile MUNGU alimwita adam... Upo wapi?akajibu nipo huku... Mbona umejificha?akajibu nipo uchi?kwani MUNGU alikuwa hawaoni?au adam alikuwa hajuwi kama yupo uchi? kilichomfanya ajifiche ni MAJUTO na SI KAMA KAJUWA YUPO UCHI...NA kwann maagizo ya kula tunda apewe adam peke yake na si eve...inaonyesha wazi tangia kuumbwa kwa adam na eve... mwanamke alikuwa mdhaifu na ana USHAWISHI mkubwa kwa mwanaume ndy maana hadi leo mwanamke anaweza kumfanya mwanaume akafanya maamuzi hata ya kijinga sababu tu mke kashauri hivyo....na akajuta kwa aliyoyafanya kama alivyojuta adam...siku zote MUNGU humsamehe MTU aliyerukwa na AKILI na asiyekuwa na ufahamu wa jambo fulani.. ..inamanisha MUNGU aliwapa akili na uwezo wa kutambua baya na zuri...na ndy maana akawakasirikia na kuwafukuza...kama MUNGU angekuwa hakuwapa akili ya kujuwa baya na zuri hakika angewasamehe baada ya kula tunda lile kwa kujuwa hawakuwa na akili......ndy maana walijuwa wameshafanya MAKOSA... na kwa nn ibilisi hakumfata Adam? Akamfata eve peke yake? ni..sababu alijuwa atakutana na upinzani Mkubwa angeenda kwa adam...ni wazi kuwa walikuwa na akili zao ila hawakuwa na matamanio....leo chukuwa mtoto wa kike na wa kiume...uwafungie sehemu moja halafu uwaweke humo kwa miaka kadhaa...usiwawekee tv... pasi na kujifunza chochote.. baada ya miaka kadhaa utakuta yule msichana ana mimba tayari..sasa jiulize aliye wafundisha WAFANYE sex nani?ndy kama mfano wa adam na eve...ibilisi ndiyo aliyompa ushawishi eve...na hata hao watoto watafanya sex sababu ya natural hiyo....kabla ya ushawishi wa ibilisi hilo TUNDA LA MTI WA KATI waliliona ni sawa na matunda mengine tu...mm bado nina mashaka na tunda hilo..ambalo leo halipo duniani.. Na kwann liitwe tunda la mti wa kati na sio matunda ya miti ya kati....maana yake ni tunda moja tu..ambalo ni MAPAJA...ikumbukwe maneno ya MUNGU ni mafumbo..
 
Mwandende, ukisoma Mwanzo2:17, unasama hivi'--walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile.... MTU huo haukuwa na tunda moja Bali ni matunda.. Adamu na Hawa, haina maana kuwa Hawakuwa na akili. Walikuwa na akili kabisa, ila Hawakuwa na uelewa wa kuona aibu ya kuwa uchi. Kwa mfano, mbwa wanaweza kupandana na watu wanawaangalia bila ya kuwa na aibu. Hebu chukua mfano wa mtu anayeenda kufanya mapenzi na mwanamke msituni. Hapa, ataangaza kuhakikisha kuwa hakuna mtu anayewaona kisha wataendelea na shughuli yao Tena wakiwa uchi. Je ni kweli hakuna anayewaangalia?. Wapo wengi tu wanaowaangalia. Kina nani hao? . 1. Miti inayowzunguka.,2. Viumbe visivyoonekana na macho haya mawili abavyo vinaishi katika plane nyingine kama vile spirits.
 
Umeruka kutoka wapi mkuu maana ni kama umeshuka ardhini kwa kishindo. Cha kwanza tujue Adam hakushawishiwa na hawa Bali alikula kwa hiari baada ya kujua kuwa hawa ameshakula. Na ukumbuke kuwa Adam ndio aliambiwa ukila utakufa. Hivo Adamu alijua tu kuwa EVA ameshakula hivo atakufa tu Adam aliogopa kuwa single boy tena akikumbuka alisota alone bustanini 30yrs. Hivo alikula kwa kuwa alimpenda sana mwenzake hivo akaona bora tufe wote. Ndio maana Adam alikula. Pia huo mti haukufika duniani kwa kuwa upo mmoja na matunda yake hayana mbegu.
 
Hapa wengi wetu hatusomi Bible nakama tunasoma hatutafakari kwa makinii ili kuelewa nini kunamaanishwa hivi vitabi vya dini maandiko yaliyomo mule mengi nimafumbo inabidi kusoma kwa utulivu wa hali ya juu nalutafakari,,,,, hilo somo linatoka katika kitabu cha mwanzo watu wengi wsgalielewi,,, mwenzenu mvivu kuandika ningefafanua kwa kina mnielewe but km kuna mwenye shida ya kuelewa vzr aniatfute kwa muda wake,,,,,
 
Back
Top Bottom