Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

Tafsiri ya mti wa kati si uchi wa mwanamke kama wengi wanavyodhani...

Mwanzo 3:6 "Mwanamke alipoona kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe naye akala".

Andiko hili linatuambia aliyeanza kuchuma tunda na kulila ni mwanamke baadaye akampelekea mwanamume.. Je mwanamke anawezaje kula uke wake yeye mwenyewe?? Hapa ni dhahiri kwamba linalozungumzwa ni tunda kweli wala si lugha ya mafumbo.
 
Ungetumia hiyo mistari kwa kueleza kulichopo kwenye ekaristi kwa mkatoliki mwenzako na sio kumlaumu kwa.kutosoma au kushughulisha ubongo wake.
Sasa nani ameshughulisha ubongo kati yako na yeye?
Walau yeye ameweka mjadala huru.ili kujadiliwa wewe ulichofanya ni kulaumu tu na kutaja ekaristi.

Nenda ukasome Ekaristi km n mkatolik bas we n kilaza, hushughulish ubongo wko.. Na biblia hujaisom vyema. Pitia vizur ktab cha mwanzo utaelew
 
Tafsiri ya mti wa kati si uchi wa mwanamke kama wengi wanavyodhani...

Mwanzo 3:6 "Mwanamke alipoona kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe naye akala".

Andiko hili linatuambia aliyeanza kuchuma tunda na kulila ni mwanamke baadaye akampelekea mwanamume.. Je mwanamke anawezaje kula uke wake yeye mwenyewe?? Hapa ni dhahiri kwamba linalozungumzwa ni tunda kweli wala si lugha ya mafumbo.
Ukisoma mtiririko wa mada yote kuna point kadha umekwepa kuzitolea ufafanuzi, pls hebu soma tena
 
Humu Jamii forums watu wasipokuwa na majibu kwa swali au mjadala huwa hawasiti kuandika chochote. Huu ni ushapavu wa kijinga.

Sio dhambi kutojua baadhi ya mambo na kukaa kimya badala ya kutoa majibu yoyote tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila nadhani wengine ni njia tu ya kutaka kujifunza zaidi Kutoka kwako kwa kutumia njia hiyo
 
Ukisoma mtiririko wa mada yote kuna point kadha umekwepa kuzitolea ufafanuzi, pls hebu soma tena
Points zipi hizo mkuu??

Nimekusogezea hapa kitabu cha Mwanzo 3
1. Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?2 Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema namabaya.6 Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.7 Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wa uchi, wakashona majani ya mtini, wakajifanyia nguo.8 Kisha wakasikia sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone.9 Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi?10 Akasema, Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.11 Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula wewe matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?12 Adamu akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.13 Bwana Mungu akamwambia mwanamke, Nini hili ulilolifanya? Mwanamke akasema, Nyoka alinidanganya, nikala.14 Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwaajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;18 michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;19 kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.20 Adamu akamwita mkewe jina lake Hawa; kwa kuwa yeye ndiye aliye mama yao wote walio hai.21 Bwana Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.22 Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishimilele;23 kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.24 Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.
 
Asante kwa ufafanuzi ila naona bado hujanipata
-ni nani alimwambia Adam kama wako uchi?
-kwanini kwenye mwili mzima walifunika 'sehemu za siri tu' (na kwanini ziitwe sehemu za siri?)
Kwanini kanisani dhambi inayokufanya utengwe ama kwanini kuna ibada maalum ya kurudishwa kundini ukizaa bila ndoa?
 
Mmh GUSSIE mdogo mdogo tafadhali... Hii ni imani ya watu
Ahaa Mshana Mambo ya dunia , huko Just mzazi mkatoliki na wewe unakuwa huko ,zile sanamu za nini ? Mambo mengi ni mapokeo Katoliki hamna kitu huko, najua unafahamu ukweli wamepokea
 
Sipingani nawe hata kidogo ila linapokuja swala la imani watu wanakuwa very sensitive
 
Asante kwa ufafanuzi ila naona bado hujanipata
-ni nani alimwambia Adam kama wako uchi?
-kwanini kwenye mwili mzima walifunika 'sehemu za siri tu' (na kwanini ziitwe sehemu za siri?)
Kwanini kanisani dhambi inayokufanya utengwe ama kwanini kuna ibada maalum ya kurudishwa kundini ukizaa bila ndoa?
Mshana naomba nijaribu kukujibu hapo mwishoni.
Dhambi zoote zinafanywa nje ya mwili. Lakini uzinzi unafanywa ndani ya mwili..
Kutengwa lazima kwasababu miili yetu hii ni hekalu la roho mtakatifu.. So tunakuwa tumemfukuza hekaluni pake......
 
Hapana kumbuka hakuna dhambi inayoanzia nje kila dhambi huanza ndani ya mwili MAWAZONI ....wazo kwanza kisha neno halafu mwisho tendo
 
Asante kwa ufafanuzi ila naona bado hujanipata
-ni nani alimwambia Adam kama wako uchi?
-kwanini kwenye mwili mzima walifunika 'sehemu za siri tu' (na kwanini ziitwe sehemu za siri?)
Kwanini kanisani dhambi inayokufanya utengwe ama kwanini kuna ibada maalum ya kurudishwa kundini ukizaa bila ndoa?
1. Kilichowafanya wakatambua wako uchi, ni matokeo ya kutambua mema na mabaya baada ya kula tunda walilo katazwa
2.Mkuu ukisema kwann walifunika tu sehemu za siri nashangaa kwamba hilo andiko umelitoa wapi, maana Biblia inasema walijifanyiza nguo kwa kutumia majani ya miti; nguo si lazima ifunike tu hzo sehem unazoziita za siri wakat kila mtu anajua nini kiko pale sasa kuna siri gan! Hizo nguo zao hatukuambiwa ziliwafunika mpaka wapi kwahyo usiseme ni sehemu za siri tu tafadhali( japo inaweza ikawa pia)
3. Biblia inasema dhambi nyingine zote mtu anazifanya nje ya mwili wake lakin uzinzi ni juu ya mwili wake, ndo maana hii ina upako wa tofauti zaid na ushahid wake unakuwa ni dhahir kabisa pale bint anapobeba ujauzito maana kunakuwa hakuna namna akawa ameupata huo ujauzito sehemu nyngne.

G.Man
 
Tafsiri ya mti wa kati si uchi wa mwanamke kama wengi wanavyodhani...

Mwanzo 3:6 "Mwanamke alipoona kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe naye akala".

Andiko hili linatuambia aliyeanza kuchuma tunda na kulila ni mwanamke baadaye akampelekea mwanamume.. Je mwanamke anawezaje kula uke wake yeye mwenyewe?? Hapa ni dhahiri kwamba linalozungumzwa ni tunda kweli wala si lugha ya mafumbo.

Asante kwa ufafanuzi ila naona bado hujanipata
-ni nani alimwambia Adam kama wako uchi?
-kwanini kwenye mwili mzima walifunika 'sehemu za siri tu' (na kwanini ziitwe sehemu za siri?)
Kwanini kanisani dhambi inayokufanya utengwe ama kwanini kuna ibada maalum ya kurudishwa kundini ukizaa bila ndoa?
Hapa nilikuwa nadadavua juu ya dhana ya tunda la mti wa kati mkuu...
 
1. Kilichowafanya wakatambua wako uchi, ni matokeo ya kutambua mema na mabaya baada ya kula tunda walilo katazwa
2.Mkuu ukisema kwann walifunika tu sehemu za siri nashangaa kwamba hilo andiko umelitoa wapi, maana Biblia inasema walijifanyiza nguo kwa kutumia majani ya miti; nguo si lazima ifunike tu hzo sehem unazoziita za siri wakat kila mtu anajua nini kiko pale sasa kuna siri gan! Hizo nguo zao hatukuambiwa ziliwafunika mpaka wapi kwahyo usiseme ni sehemu za siri tu tafadhali( japo inaweza ikawa pia)
3. Biblia inasema dhambi nyingine zote mtu anazifanya nje ya mwili wake lakin uzinzi ni juu ya mwili wake, ndo maana hii ina upako wa tofauti zaid na ushahid wake unakuwa ni dhahir kabisa pale bint anapobeba ujauzito maana kunakuwa hakuna namna akawa ameupata huo ujauzito sehemu nyngne.

G.Man
Well said
 
Tunda sio sex kumbuka ile njia ya kwenda bustanini imewekwa upanga mkali ili mtu asirudi akala apate uzima na ndio maana walifukuzwa ndipo Bible imesema Adam akamjua hawa akamzaa kain
 
Na inaposema njia ya bustan imewekwa upanga ni upi labda kwenye mapaja ya mwanamke??
 
Back
Top Bottom