Nyabhakangala
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 841
- 796
Inamaana Nyoka alijua madhara ya ule Mti kabla
Tafsiri ya tunda si uke wa mwanamkeNa inaposema njia ya bustan imewekwa upanga ni upi labda kwenye mapaja ya mwanamke??
Naomba unitajie upanga unaozuia mtu kwenda huko bustaniniTafsiri ya tunda si uke wa mwanamke
Hapa ndo alikuwa anaimbisha Au?
Umenifanye niwaze, inaamaana adam na eva walikuwa wazungu!!!!,kama jibu ni ndio kinasisi weus tulitoka wap
Mwanamke ni mwanamke tuAdam ni mwanaume wa shoka, sio kwa misuli hiyo
Siwezi kuelezea zaidi juu ya hili maana hata maandiko ya Biblia hayakufafanua zaidi... Ila tu tambua mti wa uzima uko "protected" hakuna binadamu anayeweza kuufikiaNaomba unitajie upanga unaozuia mtu kwenda huko bustanini
Ifike hatua mjue kuwa biblia haifichagi kitu na zamani au maandiko yanavoeleza ilikuwa ukisex tu na mimba imooo. Lakini imetumia neno kumjua akamjua alipomjua ikiwa inamaana ya kusex au kumgonga mwanamke kama tulivozoeaSiwezi kuelezea zaidi juu ya hili maana hata maandiko ya Biblia hayakufafanua zaidi... Ila tu tambua mti wa uzima uko "protected" hakuna binadamu anayeweza kuufikia
Una maana gani,, kwamba tunda ni uke wa mwanamke??Ifike hatua mjue kuwa biblia haifichagi kitu na zamani au maandiko yanavoeleza ilikuwa ukisex tu na mimba imooo. Lakini imetumia neno kumjua akamjua alipomjua ikiwa inamaana ya kusex au kumgonga mwanamke kama tulivozoea
Bible haifichi ila watu wanapenda kusema maneno yanayohusu ngono kwenye kila fumbo la kuhusu jinsia mbili.
Hapana tunda ni tunda la mti na huo mti upo katikati ya bustani ya eden na ni tunda LA uzima sio LA anasa wala starehe lakini ni tamu sanaUna maana gani,, kwamba tunda ni uke wa mwanamke??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana tunda ni tunda la mti na huo mti upo katikati ya bustani ya eden na ni tunda LA uzima sio LA anasa wala starehe lakini ni tamu sana
Sijaonja ila maelezo ya Bible[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbona unacheka brother??[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna sehemu kwenye bible inayosema walifunika sehemu za siri tu, mistari inasema Mungu aliwatengenezea magome ya miti wavae, yalicover sehemu zipi za mwili haijasemwa.Asante kwa ufafanuzi ila naona bado hujanipata
-ni nani alimwambia Adam kama wako uchi?
-kwanini kwenye mwili mzima walifunika 'sehemu za siri tu' (na kwanini ziitwe sehemu za siri?)
Kwanini kanisani dhambi inayokufanya utengwe ama kwanini kuna ibada maalum ya kurudishwa kundini ukizaa bila ndoa?
Shetani alichomwambia hawa kilitimia kwa mfano ukila tunda la mti huo utajua mema na mabaya. Ndiyo maana baada ya kula kweli alijiona yuko uchi. namjue hili lilikuwa ni pambano la shetani na Mungu akatumie ETIInawezekana lile tunda co sex
Sawa tuendelee sasa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji115]Shetani alichomwambia hawa kilitimia kwa mfano ukila tunda la mti huo utajua mema na mabaya. Ndiyo maana baada ya kula kweli alijiona yuko uchi. namjue hili lilikuwa ni pambano la shetani na Mungu akatumie ETI