Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

Dunia ingekuwa na amani.
tunick2.jpg
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji45] [emoji45] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji85] [emoji85]
 
Story tu kama avengers, tofauti hii ilianza zamani sana enzi hizo kila mtu anaamini chochote, ndiyo maana kuna miungu zaidi ya 3000 ukizunguka dunia nzima. Huyo unayemuabudu ni moja kati ya hao, na kila moja anadhani wa kwake ndiye wa kweli hehehe, tuache utani.

Ingekua mtu unaachwa ufike 18 ndiyo unatambulishwa dini, zingekua zimekufa zote, kumezeshwa mambo toka utotoni ndiyo kumetufikisha hapa, watoto wakimeza wanaamini 100%. Hata mimi ilikua kazi sana kutoka kwenye hiki kifungo.

Dini hasa hizi kubwa mbili, zimejaa mambo ya ajabu, utumwa, kuua, ulevi uliopindukia, kudhalilisha wanawake, yote hayo alafu mtu anakuja anakwambia "usitafsiri hivyo, tafsiri hivi" hehehe we uliambiwa utafsiri hivyo na mtunga hadithi? Sishangai kuona vikundi vya kigaidi wakitumia quran, hata kwenye history kuna kipindi wakristo nao walitumia biblia kugeuza watu watumwa, kunyima wanawake haki za kuongea popote wala kufanya uamuzi wowote, hadi kuua. Wote walewale tu, a bunch of mind controlled species.
Preach!
 
Awaken your soul! Utaielewa zaidi!
 
Kinachovishinda vitabu vyote mpaka vile vya watu wazima
Inawezekana ni kwa sababu watubwengibwanapenda vitabu vya hadithi za watoto zaidi ya vya watu wazima.

Fiction usually sells more than non-fiction.
 
Fumbo hili linamaanisha mungu alitaka kuwapima adam na hawa utiii wao ndo maana aliwaonya kutokula tunda
 
Mshana naomba nijaribu kukujibu hapo mwishoni.
Dhambi zoote zinafanywa nje ya mwili. Lakini uzinzi unafanywa ndani ya mwili..
Kutengwa lazima kwasababu miili yetu hii ni hekalu la roho mtakatifu.. So tunakuwa tumemfukuza hekaluni pake......
Vipi dhambi ya uongo inafanyika nje au ndani ya mwili
 
Mpaka sasa maswali ya msingi hayajajibiwa... Pengine ni kutokana na kiwango chetu kidogo cha ufahamu ama la kuna kitu kimetuzinga na kutufanya kushindwa kabisa kufunuliwa yale ya rohoni
 
Binadamu ndy kiumbe cha mwisho kabisa kuumbwa...MUNGU aliumba KILA KITU...mbinguni na duniani...akampa binadamu akili ya kujuwa baya na zuri...na MBINGUNI akaumba pepo na moto...ibilisi akamdanganya EVA..kwamba lile tunda ni tamu kuliko matunda yote....lakini bado ni kitendawili..mti huo ni mti gani basi ambao leo duniani haupo?na mti huo unauhusiano gani na KUKAA UCHI? jibu linakuja..pengine mti huo na tunda hilo la mti wa kati lilikuwa mapajani mwa EVA...ndy maana baada ya kula wakajiona wapo uchi...na wakamkasirisha MUUMBA..na kila mmoja akapewa adhabu yake...mwanaume atapata riziki yake kwa jasho...na taabu na mwanamke atazaa kwa uchungu....
Lakin adaam alikuwa ni mume wa Eva, inakuwaje mume akimtafuna mke iwe DHAMBI??? aahhh hapana
 
Haya mambo mengine mungu alituachia mitihani sana ni kuyaacha kama yalivo.

Huwa tu najiuliza mungu wakati anawaumba hawa viumbe wa kwanza. Je hakujua kama watakuja kumtendea dhambi na kwanini ule mti uliwekwa. Mana ulikuwa kama mtego.
Mungu alituumba ili tumtukuze yeye kwanza na vilevile kutupima imani zetu kama tunaweza kufuata aliotuamrisha na kuacha aliotukataza kabla hajatupa uzima wa milele
 
Katika hili swala kuna myths nyingi sana.The problem is hatutaki kufikiria nje ya dini,Everything we speak out soma Biblia ,soma Quran .Guys ,Biblia na Quran ni vitabu vya jana na juzi kulikua na maisha thousands of years kabda ya hivyo vitabu.

Yatupasa kuamini hivyo vitabu kutokana na imani zetu lakini havipaswi kutuzuia sisi kufikiria nje ya hivyo vitabu.

It is said that Adam na Hawa walikula psychoactive substance ( ambayo ndiyo ilichange state ya mind zao) ,kama umeshawahi kusikia Amanita muscaria ,hii ni mushroom [emoji265] ambayo ndiyo inasemekana walikula na ikawabadilisha ile perspective yao wakaanza kuona mambo tafauti kabisa na awali.They became aware of who they were .It makes really sense kwangu kuwa walichokula Adam na Hawa ni lazima kiwe kitu kilichobadilisha mtazamo wa mind zao (psychoactive substance) ,ni sawa na mtoto mdogo anaweza kukaa uchi at the age of 5 but akiwa na 12 yrs hawezi kukaa uchi,kwasababu mind yake ime change na yupo more aware kuwa yeye ni nani.So ,I assume that Adam na Hawa walikuwa na mind ya mtoto mdogo ,kila kitu kilikuwa ni sawa kwao ,hawafikiri Kesho ,they don't feel shy,they don't know their past ,hawaumizi kichwa juu ya future ,what they were enjoying was just the present,Eternal NOW,kama unavyoona maisha ya watoto wadogo tu,lakini baada ya kula Amanita muscaria (psychoactive substance) ,mind yao ilikuwa stimulated and more aware of who they are (mind awareness) ,the past ,the future started disturbing them ,the present was forgotten ,mind awareness ikawa very clear na hiyo ndiyo sababu ya wao kujificha baada ya kupata mind awareness.

Kwa wale ambao wameshawahi kutumia any psychoactive substance (Heroine ,cocaine,Cannabis etc ) ile the first feeling unayoipata (kwa mara ya kwanza unapoanza kutumia) ndiyo feeling inayowafanya watu washindwe kuacha,kwa sababu ile state ya mind uliyokuwa nayo mwanzo before kutumia ina change ,una acquire the new mind awareness ,you don't see the same world ,you see other beautiful world .Simaanishi watu wa try hizi psychoactive,No ,Unga ni devil in a chemical form ,never try ,I am saying what happened in Eden was just a game of mind ,they ate something,then mind was changed .Miili yao haikubadilika bali akili zao zilibadilika kwa kupata more awareness.Ninashawishika kuamini kuwa walikula kitu (Amanita mushrooms? ) na hicho kitu ni lazima kilikuwa psychoactive ambacho kiliwabadilisha wao uwezo wao wa kutizama mambo na kujijua zaid.

Sijui kama Mshana jr umeahawahi kukutana na concept kama hii ? .

—Najua ni hard to accept this ,but it might make sense too if you do some research •
Umenifurahisha! Na ulitaka kupatia kidogo.
Japo Bible imeandikwa kuwa walikula tunda la kati lakini haikumaanisha hivyo! Ukweli ni huu naombeni muelewe:-
1.Mungu aliwaumba Adam na Hawa wakiwa na Umri gani?
Bible haiko wazi na wengi hawjiulizi hilo, hivyo kuwafanya washindwe kuelewa juu ya hii concept. Mungu aliwaumba Hawa watu wakiwa ni watoto. Ufahamu wao pia haukuwa Mkubwa.
2. Nyoka ni hisia. mawazo na fikra za alizoanza kuzipata Hawa baada ya kukua na kufikia umri wa kati (balehe). Hisia hizo zilimfanya Hawa ajiulize maxwali mengi na kumshawishi Adamu kufanya michezo na majaribio ya viungo vyao (kula tunda la kati). Hili liliwafanya wajitambue zaidi na kuanza kujua maumbile na majukumu yao. Pale Bible inaposema kuwa Mungu alikuja na kuanza kuwalaani haimaanishi vile wengi wanavyo tafsiri. Inamaanisha kuwa kutokana na cognitive maturity walioipata baada ya kubalehe, walianza kutambua majukumu yao. Kwanza ni Adam kuwa mume wa Hawa na kumtawala na kutafuta chakula, Pili, Hawa anatakiwa kuzaa na uzazi wake ni wa uchungu, Tatum, walitambua kuwa mawazo, hisia na fikra(nyoka) vinahitaji kufanyiwa uchambuzi na kuwa controlled ili kuishi vyama. Baada ya hatua hiyo ndipo walipoanza maisha ya utu uzima rasmi(wakajuana).
Note: Mungu aliwaumba Adam na Hawa kwa ukamilifu kama tulivyo binadamu wa leo. Hata mtoto wa leo anapokuwa mtoto huwa na ufahamu mdogo sana wa mambo(kuishi uchi na wanyama). Kwake dunia ni nzuri na hupata mahitaji yake kwa urahisi(maisha ya Eden).
Mtoto huyu anapofikia umri wa kati na kubalehe, na kuanza kuuchunguza mwili na kufanya majaribio mbalimbali (kushawishiwa na nyoka kula tunda. (ie. To attain maturity)), hubadilika na kuanza kujitambua. Hujua umuhi wa viungo vyao vya Siri na kuvaa vizuri kujisitiri, huanza kutafakari juu ya maisha na majukumu yao. Huanza kuchuja kila wanachoambiwa, hisi ama kufikiria(to develop ego) Pia uwezo wa kutambua jema na baya hudevelop. Baadae huingia kwenye mahusiano ya kiutu uzima na kuwajua wenzi wao. Majukumu ya mume ni kuhemea na kutunza familiar. Majukumu ya mke ni kumtii mume, kutunza familia na kuzaa.
HAKUNA JIPYA HAKUNA TAFSIRI ZAIDI YA HIYO. LABDA KAMA UMEAMUA KUDANGANYA.
 
Nina hili swali nimeuliza kwenye uzi flan nimesahau tittle ila unamhusu kaini na jinsi alivyopatkana, bahat mbaya uzi ukafungwa hata kabla sija send post.
Hivi ni kwa nini aliyelaaniwa na Nuhu mwanzo 9-10: 23 ni Kanaani mwana wa Hamu, na sio Hamu mwenyewe ambaye ndo aliona uchi wa baba yake baada ya kulewa divai? Na kwa kupitia yeye wakabarikiwa shemu na yafeth. Swali ni kwa nini laana alipewa mtoto na si baba ambaye ndo mkosaji? Au nimeelewa vibaya?
 
Back
Top Bottom