Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,758
- 729,998
Nini tafsiri ya uchi? Ama nini tafsiri ya kukaa uchi? Uchi wa mwanamke ni kitu gani? Ama uchi wa Mwanaume ni kitu gani?
Lakini kuna uchi wa mnyama, kuna uchi wa mbuzi kuna uchi wa mtoto....!!! Uchi ni utupu eneo lote tangu chini ya kitovu na juu ya mapaja.... Hapo katikati ndipo panapokaa uchi, penye uchi......
Baada ya kula tunda la mti wa kati( mti wa ujuzi wa mema na mabaya) Adam na Eva wakajijua wako uchi... Ni nani aliwaambia kuwa wako uchi? Maana Bwana Mungu aliposhuka Bustanini na kumuita Adam, alisita kujitokeza na kusema yu uchi...
Hata hivyo kwanini baada ya kujijua wako uchi walichukua majani na kujiziba zile sehemu tuu (chini ya kitovu na juu ya magoti? Kwanini hawakujifunika sehemu nyingine yoyote ya mwili?
Bila hili fumbo kufumbuliwa hizi mada hazitaisha lakini pia jiulize kwanini anayerudishwa kundini kanisani ni yule aliyebeba mimba na kujifungua nje ya ndoa? Kwani ni wangapi ni wadhambi kuliko huyo?
Kwanini binti anayepata mimba shule anafukuzwa bila kujali alikuwa na nidhamu kiasi gani?
Fumbo la Eden ni siri isiyo siri