Fumbo la Eden! Nani aliwaambia wako uchi?

Kwa mara ya kwanza Eva alikuka pekeyake Adamu hakuwepo, sex gani inafanywa na mtu mmoja?
Evea alimshawiahi Adam wale tunda la mti wa Kati,,
Shetani ndy alimshawiahi Eva akiwa peke yake,,

Na aliambiwa lile tunda la mti wa kati ndy tamu na ndy lenye uzima wa milele.
Baada ya kula wakajikuta wapo uchi,,

Je tunda gani hilo ambalo leo duniani halipo?
Kama sio sex?
 
Walikula tunda lenye kuwa fanya wajue mema na mabaya na wakafahamu kuwa tupu kuwa njenje ni ubaya ndio maana wakaficha kwa majani.
Hawa walituharibu usikute hadi leo watu tungekuwa tunazurula tu mjini bila nguo hizi za gharama. Mwalimu unakuwa mbele pale upo tupu ukielekeza mambo ya reproduction
 
Tafsiri ya mti wa kati si uchi wa mwanamke kama wengi wanavyodhani...

Mwanzo 3:6 "Mwanamke alipoona kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe naye akala".

Andiko hili linatuambia aliyeanza kuchuma tunda na kulila ni mwanamke baadaye akampelekea mwanamume.. Je mwanamke anawezaje kula uke wake yeye mwenyewe?? Hapa ni dhahiri kwamba linalozungumzwa ni tunda kweli wala si lugha ya mafumbo.
Labda uliliwa na nyoka kwanza
 
Kwa mara ya kwanza Eva alikuka pekeyake Adamu hakuwepo, sex gani inafanywa na mtu mmoja?
Elewa maelezo ya biblia,,
Shetani alimshawishi eva kwamba lile tunda ndy zuri kuliwa Eva akiwa peke yeke.

Adam alipokuja Eva akamshawishi wale tunda,
wote walikula tunda lile ndy maana wakaadhibiwa wote..

Neno linasema baada ya kula lile tunda wote wakajiona wapi uchi,
Kama aliyekula ni eva peke yake adam asingekuwa uchi.
 
Screenshot_20231218-013604.png
 
Screenshot_20231218-013526.png
 
Mwanzo 3:6, Nyoka alivizia adamu hayupo, akaja kumlaghai Eva kwasababu angemuingia Adamu, nyoka asingefanikiwa kumlaghai maana Adamu ndo alipewa hilo agizo kabla hata Eva hajaumbwa, so ndo mbeba maono. Kwahiyo Eva alikula tunda Adamu hakuwepo, baada ya kula tunda ndo akampelekea Adamu ndo Adamu naye akala.
 
Screenshot_20231218-014416.png
Mungu aliwaambia Adamu na Eva wazaliane waijaze nchi, hapo ni Mwanzo sura ya kwanza kabla hata ya kutoa Agizo la kukataza kula tunda, baadae ndo wakapewa agizo wasile tunda, kama tunda mnasema ni ngono Inamaana aliwakataza wasifanye ngono, je wangezalianaje nahuku awali aliwaambia wazaliane?

Tukisema hamjui Biblia mtakasirika? Tunda ni tunda la kawaida na siyo ngono, mbona wakina Lutu imeandikwa kabisa akalala na watoto wake(Mwanzo 19:36) hawajaficha ficha, kwanini kwa Adamu wafiche waseme tunda?

Na kuhusu kufa ni kweli walikufa siku ile ile kwasababu Adamu aliishi miaka 930(Mwanzo 5:5) so hakufika miaka 1000 kwa maana miaka elfu moja ni sawa na siku moja kwa Mungu(Zaburi 90:4), (2Petro 3:8) kwakuwa hakutimiza miaka 1000 Inamaana kwa Mungu ni sawa na kusema hakutimiza siku moja, kama mtu hajatimiza hata siku moja ya kuishi maana yake kafa siku ile ile. Mkiwa mnabisha muwe mnatoa maandiko siyo mnabisha hivi hivi, pia twendeni tukasome Biblia tuongeze maarifa.
 
View attachment 2845541Mungu aliwaambia Adamu na Eva wazaliane waijaze nchi, hapo ni Mwanzo sura ya kwanza kabla hata ya kutoa Agizo la kukataza kula tunda, baadae ndo wakapewa agizo wasile tunda, kama tunda mnasema ni ngono Inamaana aliwakataza wasifanye ngono, je wangezalianaje nahuku awali aliwaambia wazaliane?

Tukisema hamjui Biblia mtakasirika? Tunda ni tunda la kawaida na siyo ngono, mbona wakina Lutu imeandikwa kabisa akalala na watoto wake(Mwanzo 19:36) hawajaficha ficha, kwanini kwa Adamu wafiche waseme tunda?

Na kuhusu kufa ni kweli walikufa siku ile ile kwasababu Adamu aliishi miaka 930(Mwanzo 5:5) so hakufika miaka 1000 kwa maana miaka elfu moja ni sawa na siku moja kwa Mungu(Zaburi 90:4), (2Petro 3:8) kwakuwa hakutimiza miaka 1000 Inamaana kwa Mungu ni sawa na kusema hakutimiza siku moja, kama mtu hajatimiza hata siku moja ya kuishi maana yake kafa siku ile ile. Mkiwa mnabisha muwe mnatoa maandiko siyo mnabisha hivi hivi, pia twendeni tukasome Biblia tuongeze maarifa.
Dah
We jamaa maandiko yamekukataa kabisa!
Any way, yapambanie ipo siku utaelewa
 
Back
Top Bottom