Adam na Hawa walikuwa waishi milele Ila wakala tunda mwisho wa siku SI waliishi wakafa Mungu hadanganyi, na Tena SI kwamba alishindwa kuwaona bali Mungu aliishi nao kama vile kawaida kabisa kama maisha ya kibinadamu
[emoji23] hebu cku nyingne pika chai yenye pilau masala hii imezidi mchai mchai.....Okay
Unafiki mtupu, hadithi kama za Abunuwasi halafu unalazimisha watu waamini?! ....Ahh wapi...Story tu kama avengers, tofauti hii ilianza zamani sana enzi hizo kila mtu anaamini chochote, ndiyo maana kuna miungu zaidi ya 3000 ukizunguka dunia nzima. Huyo unayemuabudu ni moja kati ya hao, na kila moja anadhani wa kwake ndiye wa kweli hehehe, tuache utani.
Ingekua mtu unaachwa ufike 18 ndiyo unatambulishwa dini, zingekua zimekufa zote, kumezeshwa mambo toka utotoni ndiyo kumetufikisha hapa, watoto wakimeza wanaamini 100%. Hata mimi ilikua kazi sana kutoka kwenye hiki kifungo.
Dini hasa hizi kubwa mbili, zimejaa mambo ya ajabu, utumwa, kuua, ulevi uliopindukia, kudhalilisha wanawake, yote hayo alafu mtu anakuja anakwambia "usitafsiri hivyo, tafsiri hivi" hehehe we uliambiwa utafsiri hivyo na mtunga hadithi? Sishangai kuona vikundi vya kigaidi wakitumia quran, hata kwenye history kuna kipindi wakristo nao walitumia biblia kugeuza watu watumwa, kunyima wanawake haki za kuongea popote wala kufanya uamuzi wowote, hadi kuua. Wote walewale tu, a bunch of mind controlled species.
Umeongea fact bila kuegemea upande wowote[emoji106]Story tu kama avengers, tofauti hii ilianza zamani sana enzi hizo kila mtu anaamini chochote, ndiyo maana kuna miungu zaidi ya 3000 ukizunguka dunia nzima. Huyo unayemuabudu ni moja kati ya hao, na kila moja anadhani wa kwake ndiye wa kweli hehehe, tuache utani.
Ingekua mtu unaachwa ufike 18 ndiyo unatambulishwa dini, zingekua zimekufa zote, kumezeshwa mambo toka utotoni ndiyo kumetufikisha hapa, watoto wakimeza wanaamini 100%. Hata mimi ilikua kazi sana kutoka kwenye hiki kifungo.
Dini hasa hizi kubwa mbili, zimejaa mambo ya ajabu, utumwa, kuua, ulevi uliopindukia, kudhalilisha wanawake, yote hayo alafu mtu anakuja anakwambia "usitafsiri hivyo, tafsiri hivi" hehehe we uliambiwa utafsiri hivyo na mtunga hadithi? Sishangai kuona vikundi vya kigaidi wakitumia quran, hata kwenye history kuna kipindi wakristo nao walitumia biblia kugeuza watu watumwa, kunyima wanawake haki za kuongea popote wala kufanya uamuzi wowote, hadi kuua. Wote walewale tu, a bunch of mind controlled species.
Litaje Basi ilo tunda Kama sio mafumboTafsiri ya mti wa kati si uchi wa mwanamke kama wengi wanavyodhani...
Mwanzo 3:6 "Mwanamke alipoona kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe naye akala".
Andiko hili linatuambia aliyeanza kuchuma tunda na kulila ni mwanamke baadaye akampelekea mwanamume.. Je mwanamke anawezaje kula uke wake yeye mwenyewe?? Hapa ni dhahiri kwamba linalozungumzwa ni tunda kweli wala si lugha ya mafumbo.
Kwenye nyoka kujivua Gamba unapointWapendwa, hebu nisaidie kidogo. Adamu na Hawa, wakati wa uumbaji, Mungu aliwaumba kwa ukamilfu, wakiwa na ufahamu uitwao "simple consciousness" sawa na walivyo wanyama , tofauti ya Adamu na wanyama ili kuwa ni ule uumbaji mwenyewe, yaani Adamu alifinyangwa toka udongo kwa mikono ya Mungu kisha kupuliziwa pumzi ya Uhai. Wanyama hawakufinyangwa Bali alisema neno tu.. Ukiangalia wanyama walivyo, utaona wana akili kamili, tena wana uwezo wa kupambanua mambo. Tazama jinsi mbwa alivyo. Mbwa wamewahi kuokoa watoto na hata watu wazima katika hatari. Tena mbwa wameweza kutumwa hata madukani na kurudisha chenji kamili. Sasa basi, ujue mbwa hawa na aibu kwa sababu akili yao uko katika daraja la "simple consciousness". Hawaoni kuwa wako uchi.. Na Adamu na Hawa nao walikuwa vile soma Mwanzo2: 25..Kabla sijaendelea napenda kuweka mambo sawa kuhusu tunda na mti wa mema na mabaya.. Miti uliokuwa umeoteshwa katikati ya bustani ya Eden, ni mti kama miti ya kawaida, na sio mwili wa Hawa. Na like tunda ni tunda kama yalivyo matunda ya miti na sio tendon la ngono. Biblia haina sababu ya kuficha neno iliandike kwa mafumbo .. Kila neno lililoandikwa katika Biblia liko wazi ni jinsi gani MTU atakaviisoma na kufunuliwa kuielewa..kumbuka ule MTU ulikuwa ni mti wa mema na mabaya. Hawa alipodanganwa na nyoka akala, akili yake ilibadilishwa kutoka katika simple consciousness, kwenda katika " cosmic consciousness". Kwa hiyo, wakati huo Hawa ndiye aliyejiona Yuko uchi. Wakati Adamu analetewa tunda na hawa, bado yeye alikuwa hajioni yu uchi mpaka pale alipokula ndipo naye akajiona yuko uchi.. Kwa hiyo, hata baada ya kijiona wako uchi, bado Adamu na Hawa walikuwa hawajaingliana kimwili. Soma Mwanzo 4:1..-Adamu akamjua Hawa mkewe (akamwingilia kimwili).. Swami ni nani aliyewaambia wako uchi ni Kule kubadika kwa akili kutoka "Simple consciousness, kwenda Cosmic Consciousness" . walijitambua mwenyewe.. Na isitoshe, hebu tumuanglie nyoka. Soma Mwanzo 3:1. Nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote... Kwa mini alikuwa mwerevu?. Maandiko hayasemi hili. Lakini huenda nyoka alikuwa wa kwanza kula hili tunda la mema na mabaya. Kwa nini?.Angalia jinsi nyoka alivyo. Nyoka huweza kubadilika kutoka katika nyoka mzee na kuwa nyoka kijana.. Wachunguzi wa maisha ya nyoka wanasema anaweza kuishi hata Marne labda auliwe na viumbe wengine. Inawezekana nyoka alikula hata tunda toka mti wa uzima kabla ya kumdanganya Hawa...
Unataka kusema Eva alimpa Hilo tunda shetani kabla ya mme wake? Na ikiwa alikuwa bikra alibikiriwa na shetani?Binadamu ndy kiumbe cha mwisho kabisa kuumbwa...MUNGU aliumba KILA KITU...mbinguni na duniani...akampa binadamu akili ya kujuwa baya na zuri...na MBINGUNI akaumba pepo na moto...ibilisi akamdanganya EVA..kwamba lile tunda ni tamu kuliko matunda yote....lakini bado ni kitendawili..mti huo ni mti gani basi ambao leo duniani haupo?na mti huo unauhusiano gani na KUKAA UCHI? jibu linakuja..pengine mti huo na tunda hilo la mti wa kati lilikuwa mapajani mwa EVA...ndy maana baada ya kula wakajiona wapo uchi...na wakamkasirisha MUUMBA..na kila mmoja akapewa adhabu yake...mwanaume atapata riziki yake kwa jasho...na taabu na mwanamke atazaa kwa uchungu....
Lilikuwa tunda la kawaida, Eva alikuka adamu hakuwepo sasa kama ni ngono, Inamaana Eva alifanya ngono pekeyake? Pia biblia inasema mti ulioteshwa ardhini, je ngono inaota ardhini? Pia kuna mti wa uzima, kama mti wa ujuzi wa mema na mabaya ni ngono, tuambie na mti wa uzima Unamaanisha nini.Binadamu ndy kiumbe cha mwisho kabisa kuumbwa...MUNGU aliumba KILA KITU...mbinguni na duniani...akampa binadamu akili ya kujuwa baya na zuri...na MBINGUNI akaumba pepo na moto...ibilisi akamdanganya EVA..kwamba lile tunda ni tamu kuliko matunda yote....lakini bado ni kitendawili..mti huo ni mti gani basi ambao leo duniani haupo?na mti huo unauhusiano gani na KUKAA UCHI? jibu linakuja..pengine mti huo na tunda hilo la mti wa kati lilikuwa mapajani mwa EVA...ndy maana baada ya kula wakajiona wapo uchi...na wakamkasirisha MUUMBA..na kila mmoja akapewa adhabu yake...mwanaume atapata riziki yake kwa jasho...na taabu na mwanamke atazaa kwa uchungu....
Evea alimshawiahi Adam wale tunda la mti wa Kati,,Lilikuwa tunda la kawaida, Eva alikuka adamu hakuwepo sasa kama ni ngono, Inamaana Eva alifanya ngono pekeyake? Pia biblia inasema mti ulioteshwa ardhini, je ngono inaota ardhini? Pia kuna mti wa uzima, kama mti wa ujuzi wa mema na mabaya ni ngono, tuambie na mti wa uzima Unamaanisha nini.
Je tunda gani hilo ambalo leo duniani halipo?Evea alimshawiahi Adam wale tunda la mti wa Kati,,
Shetani ndy alimshawiahi Eva akiwa peke yake,,
Na aliambiwa lile tunda la mti wa kati ndy tamu na ndy lenye uzima wa milele.
Baada ya kula wakajikuta wapo uchi,,
Je tunda gani hilo ambalo leo duniani halipo?
Kama sio sex?
Tunda la mti wa kati,,
Mti wa kati.. Tunda la ujuzi.. Mema na mabayaTunda la mti wa kati,,
Ni tunda gani mkuu?
Kwann liwe mti wa Kati mkuu?
Ni sex parcee.. Angalia hata kwenye makanisa wanaotengwa ni wenye kidhibiti cha mimba na si watenda dhambi wengineKwann liwe mti wa Kati mkuu?
Kama sio sex?
Nadhani bible imeongea kimafumbo sana.