SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Saido akishika mpira mara 30, lazima aanguke mara 28.
😂 sahihi sana, GSM anawazoom kwa mbaliMwiguli 1 vs Mo-0
bado hujasema
Simbha.... guvu moya



wee tulizana mpira bado haujaishaa, khaaahHuyo kocha hana wachezaji, ipo siku atazira katikati ya mechi, amuachie Mangugu li timu lakeBenchika haelewi wasipokuwa makini atapata convulsion, timu lenyewe limeshajichokea kupeana lawama tu
Ukijibiwa nitag huku wenye umeme wao wamechukua na livescore hakuna yenye update ya hii game.Mpira unaisha saa ngapi?
Guvu moyawee tulizana mpira bado haujaishaa, khaaah

Mmmh sidhanii, sioni ari ya kutafuta ushinfilTutashangilia ushindi punde si punde
Magari ya Mkaa, trip 1 mzigo halafu mwezi mzima gerejiyani uwezo wa onana = saido = kenedy = baleke = Zero , hawa wachezaji kuendelea kucheza simba inafikirisha sana.
Kumsajili huyu ..... ushauri tumepewa na RonaldoHiki kiungo Sarr ndo atakayekuja kutegemewa kama DM au kuna mwingine anakuja?![]()
Afu anaboa balaa, yaan anakeraaa mnoooSaido akishika mpira mara 30, lazima aanguke mara 28.
MwasibuMechi ikaisha tunaomba utupe Takwimu za kihasibu itasaidia sana ..