Sasa backline ina almost wachezaji 8? Unadhani ni rahisi? 75% ya team ina defend na kutegemea counter. Mechi lazima iwe ngumuSundown washakata tamaa. Hiyo backline ya yanga hata bayern kwa leo wasingefungua....
Yanga washindwe wenyewe.
Wanatolewaa hawa masandawana.Sema penalty hawatoboi hawa masambwanda
😐 refa msengerema sanaLile goli lilikuwa kali alibutua kisawasawa
Mi nimetukana kwa sauti ss hivi najisikia aibu madogo wananichora sister leo vipi 🤣🤣🤣🤣Lile goli limenifanya niumwe
Naunga mkono hojawasauzi na mpira wapi na wapi? yao muziki na party