FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,525
10,763
Match Day....

20240212_161352.jpg


20240212_161415.jpg


#nguvumoja#

Kikosi Cha Simba Kinachoanza.
20240212_155752.jpg


Kikosi cha Geita Kinachoanza.
20240212_155918.jpg


Updates...
Mpira Unaendelea


06' Simba wanafanya mashambulizi yakushtukiza kwenye lango la Geita Gold

08' Simba wanapata faulo karibu kabisa na lango la Geita.
Inapigwa inakuwa goli kick

15' Simba wanapata kona ya Tatu, inapigwa haileti impact kwa goli la Geita.
Kuna mchezaji wa Geita yuko Chini, Ramadhan Rashidi.

19' Mpira unaendelea Simba wanatawala kwa sehemu kubwa,

21' Ulaya wa Geita anapata kadi ya njano kwa kumchezea rafu Che Malone

36' Simba wanafanya shambulizi kali sana kwenye lango la Geita.
Wanakosa nafasi ya wazi hapa.

37' Simba wanapata kona, inapigwa haileti madhara kabisa kwenye lango la Geita Gold.

39' Simba wanapata kona nyingine inapigwa inakuwa goli kick.

43' Simba wanapiga kona nyingine inakuwa tasa.

Mapumziko.
Geita Gold 0-0 Simba

Kipindi Cha Pili.
Timu zote Zimeanza kwa Mabadiliko katika Vikosi vyao.

Simba
Mzamiru Out
Saidoo Inn

Geita Gold
Mwijage Out
John Inn

48' Simba wanapata kona wanapiga haileti madhara yoyote kwa Geita.
mpira unaendelea.

51' Kanouteeeeeee amekosaaaaa...
lakini ni offside.

59' Geita wanapata kona. Inapigwa haileti madhara, inaishia kwenye mikono ya Manula.

61' Simba wanaanza kona fupi.
Haileti madhara kwa Geita.

66' Simba wanafanya Sub.
Chama Out
Kanoute Out
Pa Omar Jobe Out.

Babakar Sarr Inn
Miquisonne Inn
Freddy Inn.

69' Simba wanapata kona baada ya shuti kali lililopigwa na Freddy kuguswa na mchezaji wa Geita.
Inapigwa kona haileti madhara wa Geita.

73' Simba wanapata kona mbili mfululizo.
zote hazizai matunda.

74' Mchezo umesimama kidogo. Mchezaji wa Geita yuko chini amechezewa faulo na Kennedy Juma, anapewa Yellow kadi.

81' Goooooooooooal....
Babakar Sarr anaipatia Simba Goal la kwanza baada ya kupokea assist ya Kibu D.

89' Manula yuko chini baada yakugonga goti lake.

90' nyongeza ni 4'.
Game on..

90+2' Geita wanapata free kick inapigwa na kupokelewa kwa kichwa inakuwa goli kick.
Game On...

90+3'
Kibu D Out
Isra Mwenda Inn.

Full Time.
Geita 0-1 Simba.

Kwa Matokeo haya Simba wanasogea hadi Nafasi ya Pili kwenye Msimamo wa Ligi Kuu TANZANIA Bara.
Screenshot_20240212-180031~2.png

Nguvu Moja.
 
Duh... Bwashee Mida hii Ushaanzisha Uzi.? Anyway... Timu Kubwa Afrika inastahili Watu Walale Macho...!

Baada ya Pira Papatu Papatu huko Uyole...Karibieni Kuona pira Udambwi Udambwi Kutoka Kwa WanaLunyasi...!
 
Duh... Bwashee Mida hii Ushaanzisha Uzi.? Anyway... Timu Kubwa Afrika inastahili Watu Walale Macho...!

Baada ya Pira Papatu Papatu huko Uyole...Karibieni Kuona pira Udambwi Udambwi Kutoka Kwa WanaLunyasi...!
udambwi udambwi...
 
Game On!
Simba wanapata kona Inaleta tafrani...
 
Back
Top Bottom