Hii sina Uhakika!
Mwchi zingekuwa hapa Bongo sawa TBC
Ila zikiwa Zinachezwa Nje ya Tanzania?
Nina Mashaka sanaa kama wana hiyo nafasi ya Kupewa!
1000047128.jpg
 
hatimaye bado dakika 57' kabla yale mapigo ya mbio yaende moyo, nishakula zangu kabisa nikashiba, just in case lolote likatokea.!!

Mungu ibariki team yetu pendwa ya Wanachi..!!💛💚💛💚
 
Kuna watu mna roho ngumu, kesho Tz itakuwa kimya Sana kwa wanasoka.
 
hatimaye bado dakika 57' kabla yale mapigo ya mbio yaende moyo, nishakula zangu kabisa nikashiba, just in case lolote likatokea.!!

Mungu ibariki team yetu pendwa ya Wanachi..!!💛💚💛💚
mchumba hata usijali...
 
Back
Top Bottom