From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

yaaan wewe shm kweli kila mwamba ngoma huvutia upande wake na hiyo mchanguane kama kawaida yenu, hivi utanieleza wakati mimi na platozoom tuna mda gani na hatujawahi kuleta kesi wala mashitaka si kwa mwenyekiti hata kwa balozi.

Achana nao hao walevi wakati ndoa yetu sasa inaenda mwaka, wakati wao talaka kila kukicha
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha acha noma Arushaone.......Biti halikolei.Alipo Madame B ndipo nilipo

Allah hakukosea aliponionyesha njia ya kuja mikononi mwako...........Nitunze ili wanga wasije kukupora.

Chimbuvu Mapenzi yetu ni ya kujitoa mhanga.Kujilipua....Bunduki hazitutishi,namfanyia training Madame B ya Round kicks,judo.Mimi niko fit,so my princess! ha ha ha.poleni

Hahahaaaaaaa............... Chimbuvu my dear,
Dahhhhh........!!!!!!!!!!
Ulikuwa wapi siku zote...........!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Zidumu fikra (njema tu!) za mwenyekiti Baba V... zidumuuu
 
Last edited by a moderator:
Oh nimekuja mpenzi wangu,kule siasani wamenianzishia kashfa eti nilimpa mimba dada mmoja.Hizo ni mbinu za akina Nicas Mtei ,Baba V Arushaone na wapenzi wako wa zamani....lakini tumeshakubaliana mimi na wewe haturudi nyuma.Nakupenda mwandani wangu.Wewe ndiye tulizo la moyo wangu

@ Chimbuvu,Tedo,Chilli mje mfumanie kwa macho yenu huku!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom