From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

Huyu ni kaka yake Mbuyi Twite kiboko ya Madeni ya Maharage...ila hawa wanatokea kifasi ya Lupopo

Ndio maana naona hata sura haitofautiani sana na ya Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
pole sana kiongozi Baba V kwa yote yanayo kupata hasa katika kipindi hiki ambapo nchi yetu umeibuka na ushabiki mkubwa jambo ambalo linapelekea kuwa gawa watanzania. Baba V pia nikupongeze kwa uteuzi wako mzuri ambao sizani kama kuna member yeyote ambae hajafurahia uteuzi wako.
 
Last edited by a moderator:
Binamu, Unan'tenga.
Unajua mie ni kama ulimbo,gusa unate.

Hapana...ninataka tu tuweke kumbukumbu vizuri.
Halafu kuanzia sasa tutaanza kukabidhi vyeti vya ndoa halali kabisa ili kuepusha nyumba ndogo.
 
hao watu uliowachangua ni kwa vigezo gani bwana aaaaaah!!!
vyeo vya kupeana vinaharibu utendaji kazi, by the way huko gerezani ulikuwa huogi mpaka uwe na ukurutu ivi ni kiongozi gani wewe unaogoza kwa ban kuliko raia wako humu cc na mashaka na wewe, na kama siasani ndio kunakokusabisha ban kwa nini unaenda kila mara utafikiri FASTJET sawa unaenda kujifunza mbona sioni chochote zaid ya ban,ban,ban ivi kwa mwenzi unapigwa ban mara ngapi wewe ndugu mwenyekiti eeeeeh nijibu bwana eeeh?unajua unatutesa sana,naomba majibu haraka kitiban NIMEKASIRIKA SANAAAAAA AISEEE!!!
 
pole sana kiongozi Baba V kwa yote yanayo kupata hasa katika kipindi hiki ambapo nchi yetu umeibuka na ushabiki mkubwa jambo ambalo linapelekea kuwa gawa watanzania. Baba V pia nikupongeze kwa uteuzi wako mzuri ambao sizani kama kuna member yeyote ambae hajafurahia uteuzi wako.

mi sijafurahia kabisaaaa naomba unitoe ametumia kigezo kipi,vyeo vya kupeana vinaathiri utendaji wa kazi wajitokeze hadhani tuwapigie kura ndio mpango mzima wakati wa kuburuzana umeshapita zaman
 
Baba V sidhani kama kuna couple ya kuigwa zaidi yangu na Kipipi au mimi na Amyner

yaaan wewe shm kweli kila mwamba ngoma huvutia upande wake na hiyo mchanguane kama kawaida yenu, hivi utanieleza wakati mimi na platozoom tuna mda gani na hatujawahi kuleta kesi wala mashitaka si kwa mwenyekiti hata kwa balozi.
 
Last edited by a moderator:
hao watu uliowachangua ni kwa vigezo gani bwana aaaaaah!!!
vyeo vya kupeana vinaharibu utendaji kazi, by the way huko gerezani ulikuwa huogi mpaka uwe na ukurutu ivi ni kiongozi gani wewe unaogoza kwa ban kuliko raia wako humu cc na mashaka na wewe, na kama siasani ndio kunakokusabisha ban kwa nini unaenda kila mara utafikiri FASTJET sawa unaenda kujifunza mbona sioni chochote zaid ya ban,ban,ban ivi kwa mwenzi unapigwa ban mara ngapi wewe ndugu mwenyekiti eeeeeh nijibu bwana eeeh?unajua unatutesa sana,naomba majibu haraka kitiban NIMEKASIRIKA SANAAAAAA AISEEE!!!

Hapo kwenye red huwa sipigwi hata moja
 
Hapana...ninataka tu tuweke kumbukumbu vizuri.
Halafu kuanzia sasa tutaanza kukabidhi vyeti vya ndoa halali kabisa ili kuepusha nyumba ndogo.

ivi wewe na mwenzio mnakubali kupewa vyeo ambavyo hamjavitolea jasho kutana na raia wa cc mwaga sera tukuchangue tukiwa tunajua unahamasa na kazi yako,kwa hiyo ndo unaenda kumshikia akipata ban unakamata usukani akiachiwa unakaa kushoto aaaaaah kulindana style nimeshaingua njanja yenu.
 
Waungwana kama kuna mtu aliyekaribu na dada yetu hapa tafadhali mshikeni...nahisi muda si mrefu anaweza akaivunja dadavuzi yake...

hao watu uliowachangua ni kwa vigezo gani bwana aaaaaah!!!
vyeo vya kupeana vinaharibu utendaji kazi, by the way huko gerezani ulikuwa huogi mpaka uwe na ukurutu ivi ni kiongozi gani wewe unaogoza kwa ban kuliko raia wako humu cc na mashaka na wewe, na kama siasani ndio kunakokusabisha ban kwa nini unaenda kila mara utafikiri FASTJET sawa unaenda kujifunza mbona sioni chochote zaid ya ban,ban,ban ivi kwa mwenzi unapigwa ban mara ngapi wewe ndugu mwenyekiti eeeeeh nijibu bwana eeeh?unajua unatutesa sana,naomba majibu haraka kitiban NIMEKASIRIKA SANAAAAAA AISEEE!!!
 
yaaan wewe shm kweli kila mwamba ngoma huvutia upande wake na hiyo mchanguane kama kawaida yenu, hivi utanieleza wakati mimi na platozoom tuna mda gani na hatujawahi kuleta kesi wala mashitaka si kwa mwenyekiti hata kwa balozi.

Heheeheeee ummu kulthum huwezi kuwa sawa na mimi.
Kipipi ananipenda akiingia tu ananimention wa kwanza.
Amyner ananipenda kufa na kuzikana sio penzi la kitoto etiii ooooh
Wewe platozoom hatujamuona longtime kitambo.
Anyway mi na Amyner na Kipipi ndio the best then Filipo na marejesho watafuata.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom