From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

Heheeheeee ummu kulthum huwezi kuwa sawa na mimi.
Kipipi ananipenda akiingia tu ananimention wa kwanza.
Amyner ananipenda kufa na kuzikana sio penzi la kitoto etiii ooooh
Wewe platozoom hatujamuona longtime kitambo.
Anyway mi na Amyner na Kipipi ndio the best then Filipo na marejesho watafuata.

naomba vigezo kwanza kuonekana au kumention kila dakika sio tatizo shem,tayari umeshawaongezea na hao duuuh!

eeeeeh nimekumbuka mbona wewe ulikuwa haupo long time kitambo mwaka uliopita tena mienzi ya katikati hivi kama nakumbuka ulikuwa ukirudi unawapa like watu wote ili wasikuulize maswali,kwa kigezo hicho hata wewe hupati
 
Teh! teh!
Hebu kabla ya mineno mingi, nipe status yako ya ndoa!

ivi wewe na mwenzio mnakubali kupewa vyeo ambavyo hamjavitolea jasho kutana na raia wa cc mwaga sera tukuchangue tukiwa tunajua unahamasa na kazi yako,kwa hiyo ndo unaenda kumshikia akipata ban unakamata usukani akiachiwa unakaa kushoto aaaaaah kulindana style nimeshaingua njanja yenu.
 
sitaki nimesema sitaki mmeniudhi sana leo af bia sinywi na noah haipandi kabisa sijui hasira zitaishishe.

Njoo Makirikiri bar kaunta ya juu uje unywe bia na kitimoto inteneshno mtoto
 
Afu nahitaji personal secretary ujue...:A S tongue::A S tongue::A S tongue:

Umesikika mwenyekiti... Pole kwa Ban.

Kuhusu Personal Secretary me nipo na nilisomea pale magogoni cert na Dip. Pia ni experience ya miaka isiyopungua 15 kwani nimekuwa PS ya Mawaziri wakuu waa awamu tatu za mwisho....

Kama vipi nkutumie CV yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom