Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
nadhani mli missiana...Nimerudi aisee, ulini miss...!??
nadhani mli missiana...Nimerudi aisee, ulini miss...!??
Hahahahaaa aisee inabidi tumtafute MziziMkavu[/QUOTE Erickb52
hahahaa inawezekana Baba V analo jini baya kabisa la kule surrender bridge ngoja aje MziziMkavu atuambie kulikoni mwenzetu BAN hazimkaukii
Yule aliyerudiana na The secretary jana...!!??
Anamuonea nani wivu...!!?
Somebody loves you....
Hapana...ninataka tu tuweke kumbukumbu vizuri.
Halafu kuanzia sasa tutaanza kukabidhi vyeti vya ndoa halali kabisa ili kuepusha nyumba ndogo.
Mumeo simuelewi unajua,...., hapa tu nimeku quote usijeshangaa kesho nimetunzwa servani
Mwaaaaah
watu8 hujambo? Hongera kwa kuwa vice