Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Baba V tulia,hizo proffesions zote zilishindwa kwa kuwa walizipeleka kusikostahili.Wacha Madame B akuambie hii weekend tulivyokula batazHumjui Madame B wewe, yupo kwenye kuonjaonja proffesions mbali mbali, alian
alianza na mfanyabiashara, akahamia kwa daktari, akafuata mwanasheri, then mganga wa kienyeji toka congo ambaye alikuwa anamchanganya na mwalimu na mmachinga, naona saivi zamu yako mwanasiasa,, who is next...!?? I don't know
Last edited by a moderator: