From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

Wewe Baba V, tulivyokuwa tunamtafuta ulikuwepooo.......DNA tuu, mbona tutapima, is not kwamba mimi na Erickb52 hatuaminiani but Kukuhakikishia.

Maana naona UNACHHHHOOOOONGAAAAA

Wacha nkwara wewe...!!?? kale katoto sura kopirait na nitonye afu unasema ni wa bi fifte tuu...!?? au ndo vile utasingizia kafanana na mjomba!???
 
Last edited by a moderator:
Hukawii kuwa banned hata kabla hujacomment kwenye post yako....hongera kwa kufikisha masaa 6 bila ban....hii ni rekodi ya kipekee...
Way to go Baba V....halafu nimeshaona tuzo yangu ni ipi hapo...naomba unipe mapema kabisaaa

Una akili sana wewe....,, mchakato wa kurasmisha tuzo unaendelea chini ya kikosi kazi cha washika dau wenye mpango mkakati wa muda mrefu na muda mfupi..... kuwa na subra
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom