We ni wivu ndio unakusumbua huna lolote
Oh nimekuja mpenzi wangu,kule siasani wamenianzishia kashfa eti nilimpa mimba dada mmoja.Hizo ni mbinu za akina Nicas Mtei ,Baba V Arushaone na wapenzi wako wa zamani....lakini tumeshakubaliana mimi na wewe haturudi nyuma.Nakupenda mwandani wangu.Wewe ndiye tulizo la moyo wangu
Anamuonea nani wivu...!!?
Wivu gani na huku kila kitu napata
MwaaaaahHivi wewe baba v jamani, huwa unamkosea nini la'aziz wangu hadi anakupa ban? Leo kiuno nimefunga mota, hadi aniambie sababu!
Afu huo uteuzi umeshindwa kunipa hata u-viti maaluni?
Oh nimekuja mpenzi wangu,kule siasani wamenianzishia kashfa eti nilimpa mimba dada mmoja.Hizo ni mbinu za akina Nicas Mtei ,Baba V Arushaone na wapenzi wako wa zamani....lakini tumeshakubaliana mimi na wewe haturudi nyuma.Nakupenda mwandani wangu.Wewe ndiye tulizo la moyo wangu
Humjui Madame B wewe, yupo kwenye kuonjaonja proffesions mbali mbali, alian
alianza na mfanyabiashara, akahamia kwa daktari, akafuata mwanasheri, then mganga wa kienyeji toka congo ambaye alikuwa anamchanganya na mwalimu na mmachinga, naona saivi zamu yako mwanasiasa,, who is next...!?? I don't know
Hivi wewe baba v jamani, huwa unamkosea nini la'aziz wangu hadi anakupa ban? Leo kiuno nimefunga mota, hadi aniambie sababu!
Afu huo uteuzi umeshindwa kunipa hata u-viti maaluni?