Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,650
- 218,119
Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana Mwamba Mwenyewe ameombwa kuongoza kikao hiki na amekubali