FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nyau de Busu la Kenge, Lax Inside10 kuleni chuma hicho.
FB_IMG_17756825130367539.jpg
 
Baada ya Raphina kutia chuma ya tatu we na Scars mkamkimbia kulala.

Mmekuja kupata matokeo asubuhi.
Kwakweli ile siku nilimaliza matusi yote kwa Atletico

Niliwaona mbwa sana siku ile kwa kuruhusu magoli ya kirahisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom