hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,670
- 12,598
Daah jana tumecheza hovyo sana.
Jamaa wangekuwa serious wangetufunga hata 3.
Sio mbaya late equalizer ya penati ya Yamal imetuokoa.
Big up kwa Olmo mzee wa ku break tight spaces.
Busu la Kenge
loose Nut