๐๐๐๐๐Mzee acha utani.
Timu kama inter kukutangulia goli mbili na kuchomoa sio mchezo.
Ukiangalia goli zao mbili ni kushindwa vzuri kuicheza mipira ya kona.
Kinyume na hapo hawana cha maana wanachocheza.
Mpira kila mtu kauona.
Sema bwasheee, ๐๐๐๐๐Kaa hapo hapo usubiri Jumanne wiki ijayo ujionee
Baba Yamal kwemaa? ๐๐๐๐๐Na beki gani wa kumpiga pini Yamal?
Hivi jana wakati kina Dimarco wanadhalilishwa na Yamal uliangalia mpira au umesimuliwa baada ya FT?
Nilisemajee? KumekuchaaaaJamaa 3-5-2 wameimaster...
Unakagua risiti ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Nilipokua nawaambia watu humu ndani, mara wanipe kejeli, mara wapovukwe, niliamua kuwa kimyaa,
Leo nna uwezo wa kulipa mashambulizi na nina mudu kabisaa,
Lakini nawaacha wao waugulie pole pole maumivu ya kufurushwaaa.
๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐ mashabiki wa Barca tangu jana ucku, hawataki kuona text wala call zangu,Unakagua risiti ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ mashabiki wa Barca tangu jana ucku, hawataki kuona text wala call zangu,
Huku site hata hawana amani, wanahisi ntawachachukia, kumbe hata wazo cna, niko buzzy na mambo yangu.
Ila kunae huyu m1 alivuka mipaka, nasubiri baadae nimsuuze vyedii, tuheshimiane.
๐๐๐๐๐
Jana wamelala kwa tabu mnoMashabiki wa Barca, amkeni mkapigwe na jua huko, mnalala mna raha gani? Woiiiih
๐๐๐๐๐
UEFA sio ya watoto kina Yamal na Raphina.Jana wamelala kwa tabu mno
Sasa msimu huu nani yupo form??Yani mchezaji awake msimu mmoja akachukue balloon d'or ingesikitisha sana.
Raphinha ana msimu ujao akatuoneshe hiki alichokifanya msimu huu kua sio fluke.
Raphinha, Kuna msimu wowote mwingine ameshawahi kutuoffer performance ya juu namna hii kama msimu huu mkuu?Sasa msimu huu nani yupo form??
Yeye mwenyewe raphinha anakiri kama offer za Saudi zingekuja mwanzo wa msimu angeshatimkia uko mapema tu.Sasa msimu huu nani yupo form??
Dah nikuwa kela tu๐Baba Yamal kwemaa? ๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐ watajua hawajuii.Dah nikuwa kela tu๐