SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,903
PSG were supposed to play Barca,sio M united-hawa wako below par.Barca are winning without getting off third gear
PSG is like ManCity
Majogoo ya shamba
PSG were supposed to play Barca,sio M united-hawa wako below par.Barca are winning without getting off third gear
well,well,well men at work-no one repeat no one can stop destiny-BARCA on course for a treble
Underestimate EPL clubs at your own peril.Hawa Huesca whatever the outcome sio wa kutunyima usingizi--tuna unfinished business Tuesday- English people wanachonga sana
xCB huoni hapoMkuu bado kabisa mchana kweupe una imani na Pique hapo nyuma?
Lamasia legendView attachment 1103539
Xavi played the last game of his career
Polen sana kwa Barcelona fans...valverde kaifanya barca ionekane kama team ya kawaidNilisema tangu uefa ya last year Barcelona wana shida ya mild-field ..niliwah kusema hata cout, ama dembele should not be the main target bali waangalie overhaul ya mild field kwa ujumla..! Kitu kingne kocha ni mbovu sana ..humiliation mara 2 mfululizo na board mpaka sasa bado imemshikilia ..., any way walah sikuhumia sana kwa sababu since last year niliyajua haya na ckufuatilia mech nying za barca zaid ya zile za uefa ..!!!
Possession doesn’t win matches
hii timu naipenda kwa asilimia fulani lakini kwa miaka hii ya karibuni imekuwa ikiongoza kwa kufanya usajili wa ovyo wenye kuleta faida kwa muda mfupi.Huu uzi toka kipigo cha UEFA naona mmeukimbia.
Anyway, nadhani mmemsikia Messi akikiri kwamba tokea azaliwe hajawahi kukutana na yaliyomkuta Anfield.
hii timu naipenda kwa asilimia fulani lakini kwa miaka hii ya karibuni imekuwa ikiongoza kwa kufanya usajili wa ovyo wenye kuleta faida kwa muda mfupi.
alex vidal
paulinho
andre gomez
malcom
yeri mina
todibo
boateng
vermaelen
paco alcacer
coutinho + dembele (mchango wao ndani ya klabu ni homa za vipindi)
Machungu yameisha Kwako,kwa wengine bado ni msiba wataomboleza mwaka mzima huuWakuu tumepoteana sana humu ndani turejee sasa machungu yameisha...
Kama mnavyojua hii game ya leo ilivyongumu kuiona luningani me nilikua naomba link
Duuh! SawaMachungu yameisha Kwako,kwa wengine bado ni msiba wataomboleza mwaka mzima huu