goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,880
- 5,752
Abadilishe mbinu yake.Valverde hafai hata kufunfisha panzi au kondoo
Messi asiwe centre pekee ya barca.
Abadilishe mbinu yake.Valverde hafai hata kufunfisha panzi au kondoo
Mkuu haka katimu ukikamata Messi tu unajipia unavyotaka
😂😂😂😂sema man u tulienda na mawenge, barca ilikua ni ya kuinyonga kabsaLiverpool sio watu wazuri wamesababisha timu nyingine zimejua udhaifu wa Barcelona wanawapiga mule mule
sisi tunasema vardes out afu wao wana vunga kumtetea shitWanaeza rudsha...oooh, wakianzaga hiv wanachomoa
Kijana ebu kuwa huruma basi na wazeee wa miungu watu khs MessiWanaeza rudsha...oooh, wakianzaga hiv wanachomoa
Naona madogo baada yakupigwa europa wameona wachukue de la rey.
Kitambo washakabidhiwa kombeKwani wameshabeba au watarudiana Mkuu?
Wewe unaumia nini wakifungwa........nini kinachokuuma wewe timu yako ni Manchester city ya Barcelona yaache kama yalivyo........Au ni miongoni mwa wale wanaotumikia mabwana wa wawili kwa wakati mmoja.Huyu bartomeo anampenda sana valvede haha.
Yan ipo wazi kwamba timu haiwezi
Kila mechi ana formation mpya.
Au labda wanahofia kupata kocha mzuri kwa sasa ni mtihan .
Yan Mess lazima anyanyue kiuno pale aje united!! Kanajifanya ni kifia timu sana!!
Mkeka umetiki auAsanteni Valencia
Acha roho mbaya Chifu, wape pole wazee wa BebwalonaAsanteni Valencia
Haha apana mkuu .Wewe unaumia nini wakifungwa........nini kinachokuuma wewe timu yako ni Manchester city ya Barcelona yaache kama yalivyo........Au ni miongoni mwa wale wanaotumikia mabwana wa wawili kwa wakati mmoja.
Kitambo washakabidhiwa kombe