FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nachowapendea Man U kwenye mechi za kufa kupona kama hizi wanabadilikaga kabisa.
Wanakuaga na Vibe flani dizain kina Atletico, ngoja tuone!!
Nessi asipotembeza ulimi ardhini leo sijui tu, kwanza naombea apigwe kiwiko cha usoni bahati mbaya atoke nje mapema.
Padri Mcharo na CCNP Engineer hazikukutosha. Umeamua kujiita Mama Debora!

Nina wasiwasi na usalama wa marinda yako!

- KANA -
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom