FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
9,309
Points
2,000
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
9,309 2,000
Nitajie list ya wafungaji wetu wa 3 kama unaijua!

Hakuna mchezaji ambaye hajawahi kukosa clear chance. Salah mwenyewe alikosa camp nou
Mnatumia akili gani kumpanga dembele wakati ndyo aliyetu cost game ya Liver Kwa kukosa clear chance
 
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
9,309
Points
2,000
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
9,309 2,000
Barça 18/19
58 games
40W 12D 6L
Goals 135-52
CS 26

Goals
Leo 48
Luis 25
Ous 14
Cou 11
Pique 7
Raki 5
Mal 4
Alba Vidal 3
Munir Denis Leng Alena 2
Rafa Semedo Sergi

Assist
Leo 19
Alba 15
Luis 10
Raki 9
Ous 8
Sergi 7
Vidal 6
Cou 5
Arthur Busq Pique Mal 2
Umtiti Semedo Munir Puig
 
M

makodinda

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
1,423
Points
2,000
M

makodinda

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
1,423 2,000
Mnatumia akili gani kumpanga dembele wakati ndyo aliyetu cost game ya Liver Kwa kukosa clear chance
Mkuu upo right kikubwa ata akija mchezaji gani mwalimu ameprove kiwango cha kufundisha barca....kama mwalimu mbovu ni ngumu kupata best of coutinho au dembele....griezman sio type ya barca kikubwa kupata mwalimu then utaona mabadiliko kwa wachezaji hao....pale kuna msimamizi wa mazoezi tu
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,198
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,198 2,000
Griezman Antoine in 99% loading......
Season 19-20 UEFA is a must ,not option
We are broken into pieces following Barca defeat by Liverpool lakini we get up nakuendelea mbele Barca is in our hearts
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,198
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,198 2,000
Ila alichotufanyia Velverde second leg pale Anfield sitasahau
It was very boring football despite the fact that apart from Messi tulikosa key players wakumaliza mchezo that's why wanatu brand tuna over dependency kwa Messi
 

Forum statistics

Threads 1,295,402
Members 498,303
Posts 31,210,709
Top