Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
😂😂😂😂 mkuu acha kumcharura kaka DeboraPadri Mcharo na CCNP Engineer hazikukutosha. Umeamua kujiita Mama Debora!
Nina wasiwasi na usalama wa marinda yako!
- KANA -
😂😂😂😂 mkuu acha kumcharura kaka DeboraPadri Mcharo na CCNP Engineer hazikukutosha. Umeamua kujiita Mama Debora!
Nina wasiwasi na usalama wa marinda yako!
- KANA -
Being Manchester united fan is like person living with brain cancer😢😢😢
Msma Debora...kwa haya matokeo unaweza amua mvulia mumeo pichu but akachemsha yeye.Nyinyi kunguni mkifungwa 3-1 nitafurahi sana. Nawapenda Man U kwa kuwa mume wangu pia anawapenda. ingawa personally mie ni Madrid Fan since niko binti chuo UDSM.
Yaani naombea mpigwe 3-1 nitamvulia chupi mume wangu siku 3 mfululizo nampa mambo tu.
Game ya pili tunatafuta draw tu.
Yaani nne lazima mle yaani piga ua garagaza


Bado goal mbiliUnited play Everton this weekend.
If Messi can do this to United just imagine what Walcott will do.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, alafu kipindi cha pili matatu mengine.Hili goli la 3 kwanini halijakubaliwa?daaah roho imeniuma
Ilitakiwa 3 bila first half
😂😂😂 goli la pili kashuti kadogo Ile jamaa kashindwa kudakaOya siangalii hii mechi
Vipi De Gea kafungwa magoli ya mashuti ya mbali nini
Hahah don't mess with Messi
Umekosea....6
Man u wamepoteana katika msitu wa BarcelonaHahah don't mess with Messi