FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Point of correction mkuu final n wonder metropolitan kwa ATLETICO MADRID
Wenye furaha ya kweli sio sisi Liverpool Bali Ni Real Madrid!

Hivi ingelikuwaje Barcelona angeenda Kuuchukuwa Ubingwa Ndani ya Santiago Barnabeu?
Nadhani inhelokuwa ni tusi kubwa kwa Real ambalo hawajawahi kutukanwa.
CC: Numbisa
 

Master Valverde!!
Salamu zimeshafika Anfield mkuu
 
Messi anacheza mpira atakavyo.
 
Final na City hapo? ndipo mnapokosea.
 
Fans wa messi mna matatizo,kwahy mnataka Messi awe kocha?
 
mii jamanani naona huu ndio mwaka wangu wa mwisho kushabikia mpira barca imenifanya nisipate usingizi nikijiuliza kwanini cpati jibu mutanisamehe lakini nimeshabikia barca muda mwingi ila hii ya leo imekithiri kwangu sikulala hataka daku sikuweza kula bora tuu niache kushabikia niombeeni dua kwa hili mpira acheze messi na wenzake halafu mie nikose usingizi
 
Pore sana rikijana ndio uriache kuritukana mamba kabra hujarivuka rimto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…