FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Uzuri mpaka wachambuzi wanashangaa kwanini heir wa Iniesta amemuweka nje anaanza na mpuuzi wakati ni game kila mtu anatakiwa kupress high huo ni ufala ngoja tutazame mwalimu yupi wa mfumo wetu anakuja sio huyu mshenzi
 
First Leg

Kuna mtu alikua anashangilia eti possession Liverpool anaongoza

Nikamuambia yule ndie master Velverde, kuhusu possession sahau sio kigezo sana kwake ,he is so concerned about accuracy na ndio maana hatupigi mashuti golini kwa adui ovyo ,inatakiwa ukipiga goli...no wastage


Salamu ziwaendee Anfield tunakuja kucheza kama match ya kwanza tulipoteza
The same first eleven ila Semedo ataanza


Second Leg

Am very angry at Velverde

2 times anafanya same mistake

Bonge la Come back
 
mii jamanani naona huu ndio mwaka wangu wa mwisho kushabikia mpira barca imenifanya nisipate usingizi nikijiuliza kwanini cpati jibu mutanisamehe lakini nimeshabikia barca muda mwingi ila hii ya leo imekithiri kwangu sikulala hataka daku sikuweza kula bora tuu niache kushabikia niombeeni dua kwa hili mpira acheze messi na wenzake halafu mie nikose usingizi
Ha ha haaa,kazi ya Liverpool ni kuwaadabisha wale wote walioshindikana na wengine.wanaojifanya vitimu vya dunia
 
Busquets ana 29,naona Leo mmekuja kutupigia kelele wanaume

30 year old ni kijana kwenye soka la leo?
Ama kweli mahaba yakizidi ni shiida
IMG_5008.JPG
 
Halafu alivyokuwa mpumbavu anasema alijua Liverpool watakuja kupress high lakini likaja kuzuia weka kiungo wa kucheza kati kuunganisha timu anaweka vidal mkabaji badala ya arthur melo kipindi cha kwanza kimeisha bado aka remain bold kama vile kabet klop alivyoona upuuzi wake akaongeza zaidi mtu wa kupress anakuja kustuka baadae.... Mamaae zake kama anakungutwa kazi kukalia kiti tu msengerema yule

Mkuu punguza hasira
Uwezo wake kwenye tactics ndio uliishia hapo
Kubali yaishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom