FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kocha inaonyesha hakukaa vizuri na wachezaji kucheza na akili zao.
Wao waliingia kwenye game na dhani moja kuwa washapitia.
Naona wamejifunza kitu sasa.
 
Bila shaka ushapata jibu kwanini Messi hataki kuondoka Barcelona FC[emoji28]
Huyo MESSI wenu ambaye mnamoamba kila siku mbona maajabu hayafanyi nje ya Spain kama kweli yeye ni mwanaume angefanya kile alichokifanya Spain akakifanya Anfield
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom