FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kile kipigo cha jana,,, kitachukua mda sana kusahaulika kwenye feelings za watu
 
Huyu kocha game plan hana makosa ya roma na jana karudia anapenda kukariri kikosi..dogo arthur siku zote uwa anatuliza presha ya katikati arturo anakaba akiblock mipira wakati mwingine pasi anapoteza...Mimi siwahi kuona huyu jamaa ni kocha wa kiwango cha barca tumemvumilia sana lakini hana kipya ni wakati wa yeye kuondoka sasa Mimi naamini tukipata kocha mpya tutakuwa poa pale kuna msimamizi wa mazoezi
Kocha gani kapoaa utaadhani kawekewa barafu kwa makalio,,,
Bwege kabisa huyo! Kikosi kibovu lakini kwa mtu makini hawezi kushindwa kutafuta matokeo kwa mechi kama ya Jana!
Sidhani kama anaweza hata akamkaripia mchezaji kwa uzembe wa makusudi!
,
Suarez anatuletea usanii huko mbele, coutinho Yale Yale dogo kazi yake kujiremba tu wenzie wanafanya mazoezi!..sijui anatafuta bwana??!!
..
Mliona upumbavu wa jodi alba?!! Nini alichokuwa anafanya? Mliona vicross vyake vya kupuuzi ambavyo vyote vilikutana na mguu wa beki?...
..
Rudi kwa pique,, nani anaweza kumuelewa huyu bwege! ..
Back line walishindwa kabisa kutekeleza majukumu yao ndio mana hata kiongozi messi alionesha kukatishwa tamaa na uzembe wa hawa mabeki!..
.
Timu inahitaji kufumuliwa na kupangwa upya!
 
Mlimruhusu pep aondoke hamkuonyesha uhitaji wakumbakiza .
Sasa valvede hamna kitu kabisa.
Hajifinzi kabisa,aliona game ya kwanza kazidiwa ila messi alimbeba.
Game ya pili hakubadili mbinu,akaja kuzuia.
Ubaya messi akapotea timu nzima ikapotea.
Hana plan kabisa lazima angeanza arhur melo kwa ajili ya kucontrol central midfield anamuweka vidal kisa kakariri mechi ya kwanza alienda kuzuia mpira unabadilika kulingana na mahitaji ya mechi
 
Not today Leo
IMG-20190508-WA0000.jpeg
 
Kocha gani kapoaa utaadhani kawekewa barafu kwa makalio,,,
Bwege kabisa huyo! Kikosi kibovu lakini kwa mtu makini hawezi kushindwa kutafuta matokeo kwa mechi kama ya Jana!
Sidhani kama anaweza hata akamkaripia mchezaji kwa uzembe wa makusudi!
,
Suarez anatuletea usanii huko mbele, coutinho Yale Yale dogo kazi yake kujiremba tu wenzie wanafanya mazoezi!..sijui anatafuta bwana??!!
..
Mliona upumbavu wa jodi alba?!! Nini alichokuwa anafanya? Mliona vicross vyake vya kupuuzi ambavyo vyote vilikutana na mguu wa beki?...
..
Rudi kwa pique,, nani anaweza kumuelewa huyu bwege! ..
Back line walishindwa kabisa kutekeleza majukumu yao ndio mana hata kiongozi messi alionesha kukatishwa tamaa na uzembe wa hawa mabeki!..
.
Timu inahitaji kufumuliwa na kupangwa upya!
Halafu alivyokuwa mpumbavu anasema alijua Liverpool watakuja kupress high lakini likaja kuzuia weka kiungo wa kucheza kati kuunganisha timu anaweka vidal mkabaji badala ya arthur melo kipindi cha kwanza kimeisha bado aka remain bold kama vile kabet klop alivyoona upuuzi wake akaongeza zaidi mtu wa kupress anakuja kustuka baadae.... Mamaae zake kama anakungutwa kazi kukalia kiti tu msengerema yule
 
Kocha anaona hali inaharibika anawaangalia tu wachezaji! Fala sana huyu mzee! Vidali sio MTU wa kuaminika hawezi hata kukimbia anapeleka kijogoo chake uwanjani akidhani watakuwa wanamuogopa! .
.hii timu angepewa messi angewakataa wengi humo kikosini make wanamuangusha sana
Halafu alivyokuwa mpumbavu anasema alijua Liverpool watakuja kupress high lakini likaja kuzuia weka kiungo wa kucheza kati kuunganisha timu anaweka vidal mkabaji badala ya arthur melo kipindi cha kwanza kimeisha bado aka remain bold kama vile kabet klop alivyoona upuuzi wake akaongeza zaidi mtu wa kupress anakuja kustuka baadae.... Mamaae zake kama anakungutwa kazi kukalia kiti tu msengerema yule
 
..
Rudi kwa pique,, nani anaweza kumuelewa huyu bwege! ..
Back line walishindwa kabisa kutekeleza majukumu yao ndio mana hata kiongozi messi alionesha kukatishwa tamaa na uzembe wa hawa mabeki!..
.

Timu inahitaji kufumuliwa na kupangwa upya!
Ukiona kiongozi anakata tamaa wakati timu iko kwenye wakati mgumu jua huyo sio kiongozi. Yani imepigwa tatu alafu kiongozi unakata tamaa wtf? badala ahamasishe watu yeye anakata tamaa?
 
Sawa,, lakini kumbuka uhamasishaji una ukomo! Hatujui messi aliogea nao vipi baada ya mambo kuanza kuharibika lakini hilo haliwezi kuzuia tusiwalaum mabeki na forward wazembe
Ukiona kiongozi anakata tamaa wakati timu iko kwenye wakati mgumu jua huyo sio kiongozi. Yani imepigwa tatu alafu kiongozi unakata tamaa wtf? badala ahamasishe watu yeye anakata tamaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom