OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Ajax wangewatosha kabisa..Unateseka sana
Uefa hawakufanya fair..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajax wangewatosha kabisa..Unateseka sana
Final ya europa nimechukulia kwao unaweza kuwa na tatizo la akili wewe sio.mzima
Ajax wangewatosha kabisa.Final ya europa nimechukulia kwao unaweza kuwa na tatizo la akili wewe sio.mzima
Hapa tunapiga mahesabu ya final na ma cityMan U watatulaza na njaa-bookmakers wanakataa bets zetu eti Barca hawana mpinzani hapo
Huyu bwana mdogo bado sijaona kama ana maajabu. I hope siku moja ataniprove wrong!Magazeti ya Spain yanasema Malcolm inabidi ajifunze ku cut inside ili awe anakuwa kama wide 10-so that j alba apande juu--kukaa kwake pembeni all the time kuna compromise tactics za Barca.So far ktk mazoezi bado ajafanikiwa ku master hii cutting inside
Velverde aampe minutes-second half baada ya Coutinho kuchoka-we need to see his movement off/on the ballHuyu bwana mdogo bado sijaona kama ana maajabu. I hope siku moja ataniprove wrong!
- KANA -
SureVelverde aampe minutes-second half baada ya Coutinho kuchoka-we need to see his movement off/on the ball
2018/19 in the 'Big 5' European leagues
Most goals from direct free kicks (4
)
Most goals from outside the area (7
)
LEO MESSI 
