Inasikitisha sana hehe.Pale ni Anfield mkuu, historia ya ule uwanja kwenye UEFA inajulikana.
Isingekuwa haki kwa Messi kumaliza career yake bila kupata kuusimulia ule uwanja.
Penaldo habari hizi anazo kweli
Mkuu mimi ni man u ila kwa kazi mliyoifanya leo uhasimu wangu nauweka pembeni.Mkuu yule Taa ni mshenzy sana yule mtoto
Kaupiga mwingi sana.
Ni muda pia wa klopp kuendelea kumuamini origi
Unakuta mtu anauliza eti Vidal anafanya nini uwanjani? Nigga, do you even have an idea of what football is?
Kama hujaona efforts za hili south American beast, i suggest you stick to fashion magazines. Football is not for every one!
Vidaaaaaal huyu ni kwaajili ya game zipi? Sema tenaKwangu Mimi Arturo Vidal ndiye Man of the Match. Ametimiza majukumu yake ipasavyo. Vidal aliletwa Barcelona purposely kwa Mechi kama hizi. Last season tumetolewa na Roma ni kwa sababu alikosekana Mtu kama yeye.
Kocha ameplan vizuri kumuacha Arthur Melo kwa sababu Dogo Bado hawezi fitna na roho mbaya.
Vidal anahitajika Sana next game pale England kukamilisha Kazi yake
I saw it coming ?match ya Leo nilijua ataanzishwa tu
A beast ,machine gun ,he was so good in aerial duels,defence ,passing ,tackling and one against one
Inasikitisha sana hehe.
So is anfield a temple too?
Kuna mtu alikua anashangilia eti possession Liverpool anaongoza
Nikamuambia yule ndie master Velverde, kuhusu possession sahau sio kigezo sana kwake ,he is so concerned about accuracy na ndio maana hatupigi mashuti golini kwa adui ovyo ,inatakiwa ukipiga goli...no wastage
Salamu ziwaendee Anfield tunakuja kucheza kama match ya kwanza tulipoteza
The same first eleven ila Semedo ataanza
With all due respect
Board ya Barca tunaomba tuibebe celta Virgo ambao wako kwenye danger zone kwa muda mrefu ....
Messi,Busquets, Pique,Suarez,Coutinho,Vidal,Semedo ,S Roberto,Ter Stergen na Jordi Alba tunaomba hata wasisafiri kwenda kucheza na celta Virgo, jumamosi
Thanks
View attachment 1086086Funga adi mdomo maana jamaa hukawii kufunga ata kwa ulimi
Daaah
Wazee let's stay strong najua imeuma sana ,ngoja nilale
Home and away my foot-umeshapigwa 3 bado una live in hope-hiyo return leg kwani Suarez na Messi hawatakuwepo?
EnoughHumjui vidal ee, umeona alichokifanya jana! Mane ulimi ulimtoka mpaka akapata hasira akampush....Vidal ni mhuni yule weka mbali na watoto
😂😂😂mkuu watu tulikuwa tumejificha vichakani tumekata tamaa, now tumeamkaMkuu mimi ni man u ila kwa kazi mliyoifanya leo uhasimu wangu nauweka pembeni.
Mmenikumbusha mlichomfanya Ac Milan mwaka 1995.
Ki ukweli mmenifurahisha jinsi mlichowafanyia watesi wetu.
Kwan leo walikuwepo?Watakuwepo
Mkuu yule Taa ni mshenzy sana yule mtoto
Kaupiga mwingi sana.
Ni muda pia wa klopp kuendelea kumuamini origi