FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mimi binafsi naomba Spurs washinde-Hawa Ajax naona wanaweza tibua ndoto ya Barca
Kama ilivo hatari kukutana na Barca Nou Camp akiwa anahitaji ushindi ndo hivo hivo ilivo kukutana nae fainali, ni wabaya sana hawa watu. Unaweza kukutana na timu yenye mixer ya simba, faru, mbogo, viboko, nyegere akiwa na demu wake, nyuki nk ukapata ushindi ila sio kwa hawa jamaa wakishaliona kombe ile wanatoka vyumbani kuingia uwanjani
 
Hili jamaa nalipenda sana, wamwongezee na ka mshahara...

Bila huyu sijui tungemweka nani.
IMG_20190506_204157.jpeg
 
Kwangu Mimi Arturo Vidal ndiye Man of the Match. Ametimiza majukumu yake ipasavyo. Vidal aliletwa Barcelona purposely kwa Mechi kama hizi. Last season tumetolewa na Roma ni kwa sababu alikosekana Mtu kama yeye.
Kocha ameplan vizuri kumuacha Arthur Melo kwa sababu Dogo Bado hawezi fitna na roho mbaya.
Vidal anahitajika Sana next game pale England kukamilisha Kazi yake
leo Arturo atatulia nje, ataanza Arthul, Barca atacheza mpira mwingi sana leo, Liverpool anakufa Anfield.
 
Kuna mtu alikua anashangilia eti possession Liverpool anaongoza

Nikamuambia yule ndie master Velverde, kuhusu possession sahau sio kigezo sana kwake ,he is so concerned about accuracy na ndio maana hatupigi mashuti golini kwa adui ovyo ,inatakiwa ukipiga goli...no wastage


Salamu ziwaendee Anfield tunakuja kucheza kama match ya kwanza tulipoteza
The same first eleven ila Semedo ataanza
semedo akianza mkuu, yule mwehu mane hawezi kutusumbua sana, napendekeza pia arthur kuanza game hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom