FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Amini nawaambia Liverpool anakufa kwake Leo goli 3-1

Narudia tena UEFA inarudi Barcelona huu mwaka ,ni wa treble
 
Oyooo wana eeh Leo Messi anaenda ku shine tena kwenye dimba la Anfield ,with all their coverage anajua umuhimu wa media za UK katika influence ya kuchukua "Bal On Dor "


This year anachukua crown mapema kabisa na kwa habari za ndani kabisa hamna mtu hata mmoja anamkaribia kwa points

Be scared Liverpool, we are coming for you

Tutacheza kama game inaanza upya 0-0
 
Barcelona Ndo timu ambayo imeweza kumbadilisha Suares kutoka kwenye utukutu na kua mtu mstaarabu.
Angalia pia Vidal saizi kabadilika mno. Lengo ni kukujibu tu Barcelona Ndo timu inaongoza kucheza mpira wa kistarabu na Wenye burudani

Sent using Jamii Forums mobile app
angaikeni na Wakina mr liver ila mjue kombe linabaki nyumbani Ajax amsterdam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom