FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Police wanazifunga Bar za Barcelona,zilizotangaza free drinks kwa mtu yeyote alievaa jersey ya Barca-jiji Zima lina jersey hizo na nii hatari na kama una jersey imeandikwa Suarez ukishalewa unapewa Uber bure likupeleke kwenu
 
Imekaa poa sana hiyo!!!!
Polisi waache zao watu wajipongezee bwana.
 
Hongereni Kwa kumfunga bingwa Wa Mara 3 mfululizo na bingwa wa kihistoria(Mara 13) wa champions league .
Hakika mnastahili pongezi Kwa kumfunga bingwa Wa kihistoria wa la liga na club bora ya dunia katika karne ya ishirini.
Hongereni sana barca Kwa kuwafunga club iliyotoa wachezaji bora Kwa miaka 3 mfululizo kuanzia 2016,2017 na 2018
 
Jifariji tu

Jamaa ana "talent/talanta" kama siyo "gifted". Yaani flexibility aliyonayo siyo ya dunia hii. Halafu yuko "very calm"....
Nafkiri yeye ndio midfielder inayopiga pasi nyingi kwasasa tokea xavi aondoke,kuna game mbili zilizopita alipiga pass nying sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom