Bila kusahau Dembele. Kahusika goli la pili na kuassist la mwisho.My credit kwa S Roberto..ha ha ha kawavuruga sana katikati na mipira yake ya assist na penetration .
This is Barca kila pass ya mchezaji ina macho na brains
Mkuu ulikua unataka kumtesa Numbisa Sasa angeweza kweli kupost magoli yote hayo?Hamna mkuu. Unaipata hii scene?
View attachment 914229


Inatosha jamani tayari Lopetegu kazi hanaView attachment 914234
Pole sana Dada anguDuh hadi Suarez kapata kampira leo daaah
Hajakuumbua mkuu ni vile haukuwa mnafiki au fanboy wa kushabikia mtu hata akiharibu. Tushukuru leo amerudi na zile kick za kupaaa. siku nzuri sana leo.Ha ha Suarez ameniumbua leo
Pamoja ya ukweli kwamba mimi nilikua wa mwisho kumlaumu makosa yake
But all in all my theory ya kumchezesha S .Riberto na Semedo kwa muda mmoja imelipa ni kwamba upange ambao Madrid waliuita weak side (right back ) kumezibwa kabisa ...na Semedo na kijana S.Roberto anafanya yake mbele ana assist,drible nankupiga crosses katikati
Artulo Vidal.....goal.....la 5
Basi ukipata bando la kutosha uziweke ata siku nyingine sio mbaya...Mambo magumu. Kuweka GIF za mechi ya leo kipaji muhimu.![]()
Wamempiga sana UEFA.Naona A.Vidal leo ndio atakua na furaha sana kupita siku zote tokea aje kwa wanaojua kuupiga
Pole sana Dada angu
NdiyoMkuu bado msimamo wako uko palepale
madrid wamemnyanyasa sana huyu jamaa na bayern yake aiseeNaona A.Vidal leo ndio atakua na furaha sana kupita siku zote tokea aje kwa wanaojua kuupiga



Wamempiga sana UEFA.
Acha ajipoze machungu sasa, hapo alipo ndio mahali sahihimadrid wamemnyanyasa sana huyu jamaa na bayern yake aisee![]()