Kabisa Mkuu, unajua hawa vijana wa La Masia huwa wana hasira kali saana na Madrid.S.R kila akikutana na hawa jamaa hafanyi makosa

HahahahahahahaHistoria imeandikwa leo Camp nou kwa wino wa dhahabu
Hongereni Kwa kumfunga bingwa Wa Mara 3 mfululizo na bingwa wa kihistoria(Mara 13) wa champions league .
Hakika mnastahili pongezi Kwa kumfunga bingwa Wa kihistoria wa la liga na club bora ya dunia katika karne ya ishirini.
Hongereni sana barca Kwa kuwafunga club iliyotoa wachezaji bora Kwa miaka 3 mfululizo kuanzia 2016,2017 na 2018
HahahaSiku hizi Xavi anavaa jezi ya Arthur Melo anaingia kucheza. Anadhani hatujamshtukia!
Dogo sio wa kawaida, anauchukua huku anautupa kule. Anafinya hapa, anatekenya pale.
Akina Modric wamebaki kutoa ulimi kama soksi!
Madrid is now a shadow of it's own history!Hongereni Kwa kumfunga bingwa Wa Mara 3 mfululizo na bingwa wa kihistoria(Mara 13) wa champions league .
Hakika mnastahili pongezi Kwa kumfunga bingwa Wa kihistoria wa la liga na club bora ya dunia katika karne ya ishirini.
Hongereni sana barca Kwa kuwafunga club iliyotoa wachezaji bora Kwa miaka 3 mfululizo kuanzia 2016,2017 na 2018
Match ijayo ya elclasico tuki shinda basi tutakuwa tuna lingana match za kushinda yaani 95/95 wote, saizi sisi ni 94 wao 95Madrid is now a shadow of it's own history!
Soon mtakua kama Liverpool.
Hahah! wakikutana inakua kama ni Jihad kwao, hivi na huyu Rafinha ni La masia?Kabisa Mkuu, unajua hawa vijana wa La Masia huwa wana hasira kali saana na Madrid.
Ndio.ni mdogo wake na Thiago AlcantaraHahah! wakikutana inakua kama ni Jihad kwao, hivi na huyu Rafinha ni La masia?
Angalia record za El clasico ndo utajua nani mbambe hao ma giant wa dunia wanapokutanaHongereni Kwa kumfunga bingwa Wa Mara 3 mfululizo na bingwa wa kihistoria(Mara 13) wa champions league .
Hakika mnastahili pongezi Kwa kumfunga bingwa Wa kihistoria wa la liga na club bora ya dunia katika karne ya ishirini.
Hongereni sana barca Kwa kuwafunga club iliyotoa wachezaji bora Kwa miaka 3 mfululizo kuanzia 2016,2017 na 2018
Scout aliesababisha huu usajili amefanya kazi nzuri sanaSiku hizi Xavi anavaa jezi ya Arthur Melo anaingia kucheza. Anadhani hatujamshtukia!
Dogo sio wa kawaida, anauchukua huku anautupa kule. Anafinya hapa, anatekenya pale.
Akina Modric wamebaki kutoa ulimi kama soksi!
Sure thing!Scout aliesababisha huu usajili amefanya kazi nzuri sana
Madrid imetoa wachezaji bora wapi? Wote waliowika apo ni ready made ...Hongereni Kwa kumfunga bingwa Wa Mara 3 mfululizo na bingwa wa kihistoria(Mara 13) wa champions league .
Hakika mnastahili pongezi Kwa kumfunga bingwa Wa kihistoria wa la liga na club bora ya dunia katika karne ya ishirini.
Hongereni sana barca Kwa kuwafunga club iliyotoa wachezaji bora Kwa miaka 3 mfululizo kuanzia 2016,2017 na 2018
upo sahihi mkuu real madrid ndio wababe wa soka duniani kwa ngazi ya klabu kwa miaka 3 mfululizo lakini pia na wewe unapaswa ukubali ya kwamba barcelona ndiye mbabe wa real madrid kwa miaka 10 hii.Hongereni Kwa kumfunga bingwa Wa Mara 3 mfululizo na bingwa wa kihistoria(Mara 13) wa champions league .
Hakika mnastahili pongezi Kwa kumfunga bingwa Wa kihistoria wa la liga na club bora ya dunia katika karne ya ishirini.
Hongereni sana barca Kwa kuwafunga club iliyotoa wachezaji bora Kwa miaka 3 mfululizo kuanzia 2016,2017 na 2018
Nasikia alikuwa anomba kurudi, hadi analia kuubembeleza uongozi wa Barca umruhusu arudi. Kabakie huko huko tu au wakachukue Vibonde wetu kama lengo lake ni kurudi Spain...Neymar alifanya kosa kubwa
Bado Round ya pili Mkuu. Urudi kutoa pongezi hivyo hivyo. Ahsante kwa pongezi hizo...Hongereni Kwa kumfunga bingwa Wa Mara 3 mfululizo na bingwa wa kihistoria(Mara 13) wa champions league .
Hakika mnastahili pongezi Kwa kumfunga bingwa Wa kihistoria wa la liga na club bora ya dunia katika karne ya ishirini.
Hongereni sana barca Kwa kuwafunga club iliyotoa wachezaji bora Kwa miaka 3 mfululizo kuanzia 2016,2017 na 2018
Toka kalipo puyanga puyanga Wordcup Russia na style ya kujiangusha na kubilingika kamekwisha kote kote yaani uwanjani na nje ya uwanja/ktk media.Neymar hamna kitu siku hizi
Amekuwa mchezaji wa kawaida tu
Kabisa Mkuu, unajua hawa vijana wa La Masia huwa wana hasira kali saana na Madrid.
Yeah Mkuu, wote na Kaka yake Thiago Alcantara wa Bayern wamepikwa La-masia hao.Hahah! wakikutana inakua kama ni Jihad kwao, hivi na huyu Rafinha ni La masia?
Ndio mkuu..Hahah! wakikutana inakua kama ni Jihad kwao, hivi na huyu Rafinha ni La masia?