FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Umejuaje? Kingekuwa kiama LeoHahaha noma sana wakuuu ....
Hapo king ajacheza, wangekufa tisa leo...
Umejuaje? Kingekuwa kiama LeoHahaha noma sana wakuuu ....
Hapo king ajacheza, wangekufa tisa leo...
Pole sana dada yangu....sasa mbona hutupii link zako tuone mkipewa dozi na wanaume!!Hahahaha hunitakii mema weuwee
Well said Mkuu. King ameshasema mwaka huu treble kama zote hivi ndani ya nyumba.Nillisema hapa tukitulia wanakula mkono, and that's what they got!
Tumeanza kipindi cha pili vibaya sana mpaka wakapata goli, ila substitutions zimebadili mchezo.
Sergi Roberto is the man of the match kwa upande wangu, he was every where doing everything!
He literary owned the midfield keeping Modric in his pocket!
Huyu Semedo sitaki kumuongelea sana, maana kamchana mtu msamba kama wa Amber Ruty alafu akasepa kama sio yeye!
Dembele amecheza poa sana na amepika magoli mawili, that's more than enough!
Back to ticki tacka, the last 25 minutes were occupied by romantic football, i almost climaxed!
Hebu king aendelee kupumzika, kazi yake kutupatia UEFA!
This is Barca!
Hongereni woote kwa ushindi huu mpana.
Pongezi kwa kupata points 3 na goal 5
Now mna drive race, mpo pale juu kileleni.
Sidhani kama Lopetergue atamaliza siku 3 kabla ya kuonyeshwa mlango wa kitokea. Ramos hii game imemuuma sana. Hii itakaa kwenye kumbukumbu zake mpaka kufa.
Hata aje kocha wa aina gani sisi tutajipigia tu kama sio 20, 10With all due respect Lupetegue asifukuzwe
Naomba Mungu baba kila ridhiki tumeumbiwa inakua kwa binadamu mwenzako ;lupetegue is a perfect match tuachie ili mwezi match tuwapige goli 8
Mkuu wa mamlaka zote sema aminaaaaa![]()
Huyu dogo nasema akipandishwa na Riqui Puigi akaja na moto ambao nimeuona anao basi barca ktk itakuwa haishikiki
Ni kweli mkuu mwanzoni alikuwa mzito flani hivi lkn saizi yupo kwenye njia
alikuwa anasoma mazingira kutoka porini kuja kwenye timu bora na moja kwa moja kuingia kikosi cha kwanza hatari sana dogo anafumua pira la hatari nadhani xavi na iniesta wanafurahi huko walipoNi kweli mkuu mwanzoni alikuwa mzito flani hivi lkn saizi yupo kwenye njia
Duuh! hongera zako
Bado 1 ikitimia hiyo atafurahi sana. Kuchukua Uefa.Artulo Vidal finally ametimiza ndoto yake ya kuipiga Real Madrid bao![]()
With all due respect Lupetegue asifukuzwe
Naomba Mungu baba kila ridhiki tumeumbiwa inakua kwa binadamu mwenzako ;lupetegue is a perfect match tuachie ili mwezi match tuwapige goli 8
Mkuu wa mamlaka zote sema aminaaaaa![]()
Arthur Mello ana pass accuracy ya 96% anamkimbilia Busquets na XaviKweli Kabisa Mkuu....
Aisee kiwango cha Jordi Alba duniani sasa hivi ni namba moja nadhani Lucho anajilaimu kumuacha Spain national team na hii match lazima aliiangalia tu
Jordi Alba is the best ana attack ,piga crosses (sharp left flank) ana drible confidently,anaingia hadi katikati na ku shoot kama namba 9 vile mbaya zaid ana perform basic roles zake za ku defend ,take on na interceptions za mipira na yuko vizuri kwenye aerial duels -mipira ya juu ya crosses anaiokoa yote daaaah what a player
Arthur Mello ana pass accuracy ya 96% anamkimbilia Busquets na Xavi
He is adapting so quickly bado tu kupiga zile penetrating balls na ku advance foward kama.alikua anafanya S Roberto vile sexond half na kuwavuruga pale katikati
Leo kafanya poa japo kuna muda alitaka kuharibu. Hata hivyo hatuwezi mjudge mtu kwa kufanya vizuri mechi moja huku karibu zote 9 hajafanya poa.Huyo ndio fighter aliyebaki-sasa vipi unakula matapishi yako????