Ushindi leo ni wetu labda tushindwe sisi tu kuchagua kikosi
Leo Velverde katika kikosi kitakachoanza with all due respect Sergio Roberto anatakiwa aanze meanwhile Semedo akae kule beki 2 ,hii itasaidia team kua na strong defence especiall surprise attacks na crossing balls (outer) za opponent upande wa kushoto mwa uwanja
S. Roberto atakua kiunganishi cha midfielders na front line attackers kwa kua ana uwezo wa ku dribble huku akiingia ndani kutoka outer flank hilo moja ,pili ni mzuri kupiga crosses -long balls na hata akiingia katikati ya uwanja ana uwezo wa ku hold mipira na kuleta coordination kwa Coutinho ambaye ana tabia ya kushuka katikati,Rakitic ,Busquets na Arthur Mello -kwanku exploit advantage alizokua nazo tutakua tume atleast compansate qualities ambazo Messi anazofanyaga uwanjani
For Me Dembele aingie tu kama Sub (plan B ) ambayo na propose aingizwe na Malcom ikitokea Coutinho au Suarez mmoja wapo akachemsha na kupigwa substitution (style ya kutumia fast moving left and right flanks )
Ni hayo tu otherwise leo Madrid ushindi wake ni draw
But Barcelona 3-Madrid 0