BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Kama kuna madrid fans humu nawapa pole
Huyu dogo nasema akipandishwa na Riqui Puigi akaja na moto ambao nimeuona anao basi barca ktk itakuwa haishikikiNi zaidi ya machine mkuu ..anamwaga maji so kitoto..
Wewe ni mtabiri mzuri sana. Tumewala mkono 5-1, aiseeTunapoteza sana possession kwenye final third. Rafinha, Suarez na Coutinho wanacheza average sana.
Arthur, Alba na Roberto wako on fire.
Tukitulia wanakula mkono hawa!
Ni kweli mkuu mwanzoni alikuwa mzito flani hivi lkn saizi yupo kwenye njiaWengi tulitia shaka sana juu ya huyu Arthur Melo. Mara mzito, mara sijui hafiti kwenye mfumo wa Barca, yaani 7bu kibao!!! Games zote alizocheza kasimama imara.
Kifupi ni bonge la Midfielder, walifanya vizuri sana kumchukua baada ya Iniesta na Paulihno kuondoka. Ilikuwa aje mwakani, 2019 lakini baada ya kuona Iniesta na Paulihno wamesepa uongozi ukaomba aje mwaka huu badala ya 2019.
Nillisema hapa tukitulia wanakula mkono, and that's what they got!
Tumeanza kipindi cha pili vibaya sana mpaka wakapata goli, ila substitutions zimebadili mchezo.
Sergi Roberto is the man of the match kwa upande wangu, he was every where doing everything!
He literary owned the midfield keeping Modric in his pocket!
Huyu Semedo sitaki kumuongelea sana, maana kamchana mtu msamba kama wa Amber Ruty alafu akasepa kama sio yeye!
Dembele amecheza poa sana na amepika magoli mawili, that's more than enough!
Back to ticki tacka, the last 25 minutes were occupied by romantic football, i almost climaxed!
Hebu king aendelee kupumzika, kazi yake kutupatia UEFA!
This is Barca!

Amber ruty....Siku hizi Xavi anavaa jezi ya Arthur Melo anaingia kucheza. Anadhani hatujamshtukia!Pamoja na hayo Arthur Melo ni machine nyingine





KabisaPiga mbwaaa haòo
King Messi anacheka tu jukwaani angekuwepo leo 8 zingewahusu hawa jamaa
Tena kwao huwa wa laini sana hawa jamaaSafi sana...nasema hivi safi sanaaa....NUMBISA my dada mwanzo wewe nilijuwa ni MAN kumbe ni KE... aise porrrrrreni sanaa..next game itakuwa March na king inshaalah atakuwepo mammae...
Nani kaua 5 bongo?Du 5
Bongo nako 5
wazee wa kubebwa mpo?!?!?
HahaaaaSiku hizi Xavi anavaa jezi ya Arthur Melo anaingia kucheza. Anadhani hatujamshtukia!
Dogo sio wa kawaida, anauchukua huku anautupa kule. Anafinya hapa, anatekenya pale.
Akina Modric wamebaki kutoa ulimi kama soksi!
SimbaNani kaua 5 bongo?
Duuh! hongera zakoSimba
Pale barnabeu ndio hua tunatamba kuliko kwetuTena kwao huwa wa laini sana hawa jamaa
Watalia na Kusaga meno huko huko kwao Mkuu....Huyu Lupetegue alikua anafundisha netball ati?
Alot of spaces kwenye defence yake Messi angemuumbua sana leo huyu na naenda kumuombea asifukuzwe tukutane nae next El Classico
#Hash_tag
Sikutambua kama Lupetegui atafukuzwa mapema kabla ya Mourinho
Eti mkuu El Pisterero kiwango kinashuka ila leo amejipigia vibonde waliopo nafasi ya 9Duh hadi Suarez kapata kampira leo daaah