FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

HALA LIVERPOOL
1540742619764.png
 
Tunapoteza sana possession kwenye final third. Rafinha, Suarez na Coutinho wanacheza average sana.

Arthur, Alba na Roberto wako on fire.

Tukitulia wanakula mkono hawa!
Siyo mbaya mkuu. Timu imejaza natural Midfielders watupu. Rafinha na Coutinho. Ni kama tuna viungo watano. Ndiyo maana umiliki wetu unatisha japo ndiyo hivyo tunasacrifice kule mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom