FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo Coutinho hajafanya chochote cha maana kwa sababu kacheza winger ambayo hajazoea.
 
Leo Coutinho hajafanya chochote cha maana kwa sababu kacheza winger ambayo hajazoea.
Wakati hiyo nafasi dembele anacheza poa tena sometimes anadefend vizuri. Hapa ndo namshangaa valverde!

Kuhusu game kua mbaya tatizo ni pressure ya mchezo kwa pande zote mbili. Watu wamepanic wanabutuana tu, ndio maana hata zidane akaamua kumtoa kristina.

All in all, we are unbeaten!

Madridiots couldn't beat Barca with one man down. Nafikiri Liverpool wamejifunza kitu, watuondelee kelele kule Kiev!
 
Anyways we still invincible game no 42
Tutamaliza league bila kufungwa our focus is UEFA next year
Wewe size yako ni village champion league aka la liga .kule UCL kuna wenyewe no wonder umeishia robo fainali misimu mitatu mfululizo wakati wenzako wanachukua kombe hilohilo misimu 3 mfululizo
 
Wewe size yako ni village champion league aka la liga .kule UCL kuna wenyewe no wonder umeishia robo fainali misimu mitatu mfululizo wakati wenzako wanachukua kombe hilohilo misimu 3 mfululizo
We ni mshamba nani amekuambia kama UEFA ndio kipimo cha ubora wa team?laliga uko nafasi ya 3,Sevilla ilifika robo iko nafasi ya 8 ,Liverpool nafasi ya 3
Do u think ni good indicator ya team bora?Tumia basi kidogo ubongo na huu mwaka mtaishia bila kikombe chochote
 
Za kufizia fizia na kubahatisha, ukiona hivo kiwango cha kuvizia goli huwaga kiko juu kanapocheza uefa. Ndo maana.
Mpira ni mchezo wa makosa. Hakunaga magoli ya kubahatisha. Ukifungwa ujue ulifanya makosa. Stop those nonsense of kubahatisha sijui kuvizia.
 
Huyu refa wa jana hakusita kuonyesha mahaba yake. Lakini fresh tu.
tapatalk_1525674343384.jpeg
tapatalk_1525674479919.jpeg
 
Mpira ni mchezo wa makosa. Hakunaga magoli ya kubahatisha. Ukifungwa ujue ulifanya makosa. Stop those nonsense of kubahatisha sijui kuvizia.
Sure...we have no justification on that...Barcelona si team kupambana kubeba la liga ..kwetu la liga ni Maji ya kunywa..we need more energy kwenye kampen ya kuchukua uefa..tangu nifungwe na Roma kwa aibu sina ham ya kuangalia mech za mpira mpaka world cup!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom