FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi is another jamani khaaa anajituma mpka unatamani uingie kwenye Tv umpe assist hahaha!!! Barca Wanajitahidi sana japo wanacheza pungufu watulie tu mechi yao hii....
Sasa Dada angu mtu anapigwa ngwala Messi anapewa assist anafunga na kushangilia kweli kweli ahaaa ila Madrid sio watu wa kulalamika Sana tunaendelea kufanya mazoezi ya champions league final
 
Anyways we still invincible game no 42
Tutamaliza league bila kufungwa our focus is UEFA next year
 
Siyo mbaya wakuu. Japo hawa jamaa ilitakiwa tuwatafune. Liverpool fanyeni maarifa jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom