FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tajiri mmoja Spain amwaahidi Barca atawapa Euro million 5 kama watafikisha goal 100.Barca wanahitaji goal 9 katika match 3 zilizobaki. Velverde amefahamishwa na board kwamba hii hela lazima ipatikane hata ikiwezekana apange striker watupu.Inasemekana huyo tajiri amebet Barca kupata goal 100 na he stands to win Euro million 15.
 
Different people meet up their football idols.
IMG_20180507_185136.jpg
IMG_20180507_185157.jpg
IMG_20180507_185159.jpg
IMG_20180507_185201.jpg
 
Baada ya kukosa namba kikosi cha kwanza licha ya kununuliwa kwa bei mbaya, Jurgen Klopp amemuita Ousmane Dembele katika kikosi cha Liverpool.

Dembele alijiunga na Barcelona kwa Pauni95 milioni, lakini ameshindwa kuvaa viatu vya Neymar aliyetimkia Paris Saint Germain (PSG).

Klopp anamtaja mshambuliaji huyo wa zamani wa Borussia Dortmund ni mchezaji mwenye kiwango bora anayestahili kucheza Liverpool.

Dembele aliyepata maumivu ya misuli iliyomuweka nje uwanja muda mrefu, hajarejea katika kiwango chake.

Dembele mwenye miaka 20, ameshindwa kuendana na aina ya mfumo wa Barcelona tangu alipotua Now Camp katika usajili wa majira ya kiangazi.

Kocha huyo wa Liverpool anataka kumsajili Dembele kuboresha safu ya ushambuliaji.

“Dembele kwani yupo sokoni? Ndio ninamtaka,”alisema kocha huyo aliyewahi kuifundisha Dortmund.

Mchezaji huyo anakabiliwa na mazingira magumu Barcelona, baada ya kucheza mechi moja ya ligi kwa dakika zote licha ya kuanza katika michezo tisa akiwa amefunga bao moja.

Barcelona imeanza mkakati wa kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann majira ya kiangazi
 
Pressure ya kuondoka neymar ndio iliyoleta yote haya ya kukurupuka kumsajili Dembele na hata coutinho pia kwasabu so far bado hawajacomply kabisa na system yao perfectly zaidi ya kuleta ukanjanja mwingi uwanjani.
 
Pressure ya kuondoka neymar ndio iliyoleta yote haya ya kukurupuka kumsajili Dembele na hata coutinho pia kwasabu so far bado hawajacomply kabisa na system yao perfectly zaidi ya kuleta ukanjanja mwingi kwenye uwanjani.
Hua siwaelewi watu wa aina yako.

Neymar anacheza left wing, Dembele anacheza right wing, Coutinho ni midfielder.

Sasa sijui hua mnafikiria nini kusema Dembele au Coutinho wameletwa kuziba pengo la Neymar!

Dembele na Coutinho wamekuja kwa sababu Barca ina mapungufu maeneo hayo ya midfield na wing ya kulia.

Pengo la neymar bado halijazibwa, ndio maana wing yetu ya kushoto bado haina uhai.
 
Pressure ya kuondoka neymar ndio iliyoleta yote haya ya kukurupuka kumsajili Dembele na hata coutinho pia kwasabu so far bado hawajacomply kabisa na system yao perfectly zaidi ya kuleta ukanjanja mwingi uwanjani.
Naona fans wengi wanasahau kwamba Neymar,msimu wa kwanza hakuwa Barca material-but what followed the next season he blitzed the soccer world
 
Hua siwaelewi watu wa aina yako.

Neymar anacheza left wing, Dembele anacheza right wing, Coutinho ni midfielder.

Sasa sijui hua mnafikiria nini kusema Dembele au Coutinho wameletwa kuziba pengo la Neymar!

Dembele na Coutinho wamekuja kwa sababu Barca ina mapungufu maeneo hayo ya midfield na wing ya kulia.

Pengo la neymar bado halijazibwa, ndio maana wing yetu ya kushoto bado haina uhai.
Mkuu mimi ndiyo huwa siwaelewi kabisaaa watu wa aina yako.

Wapi niliwahi kuandika Dembele au Coutinho wamesajiliwa kwa lengo la kumreplace au kucover gape ya neymar?

By the way unavyosema mpaka leo pengo halijazibwa is it a must ipatikane perfect replacement ya neymar kwamba mpaka leo bado wanamtafuta huyo neymar pacha ili kumcover ipasavyo? Sidhani kama mpira uko hivo kama unavyofikiria.

N.B. tusiwe kama Shafii Dauda.
 
Tajiri mmoja Spain amwaahidi Barca atawapa Euro million 5 kama watafikisha goal 100.Barca wanahitaji goal 9 katika match 3 zilizobaki. Velverde amefahamishwa na board kwamba hii hela lazima ipatikane hata ikiwezekana apange striker watupu.Inasemekana huyo tajiri amebet Barca kupata goal 100 na he stands to win Euro million 15.
Leo tunataka Barca aipe hiyo shuguli top priority anything less no good-match 3 goal 9 is within our reach
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom