Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
As i said, hatuchukui ushauri wa mahasimu wetu!
Infact, ningeshangaa sana kama ungemsifia dembele!
Si bora ni msifie victor mosea
As i said, hatuchukui ushauri wa mahasimu wetu!
Infact, ningeshangaa sana kama ungemsifia dembele!
Wivu ni Kitu kibaya masikini hawezi kuwa tajiri kwa kuchukia matajiri." Ati mna rob" hata aibu hauoni wewe Roma kakutoa,juve alikunyoa season iliyopita uwezo wa team yako unaishia laliga kiufupi wewe ni village champions ,team inatoa bingwa wa ufaransa, bingwa wa italy ,bingwa wa German ati mna rob, wewe ulimtoa bingwa wa england mchovu ambae season hii hata Top four hayupo .Barça ni village championsMadrid madrid be scared be scared Barcelona inakuja kushusha kipigo cha mwaka na chakuaibisha ,sijawahi kukosea utabiri wa El-classico,Laliga sio UEFA ambayo mna rob
Madrid atakufa goli 4-0 pale Camp Nou kesho mark my word
View attachment 766826
Sio hatumuheshimu, Lakini hawezi kupewa heshima ka aliyopewa Iniesta na wana Madrid, kwa sababu hana mpira wa ladha ni sawa na Suarez.Mniambie mashabiki wa Messi kwa nini hamumuheshim Ronaldo?
Anyway this is about Iniesta namuheshim sanaa. Hata Bernabeu tuliwahi mpa standing ovation
Dogo ana kazi ya kuadopt mfumo wa Barcelona. Kwa vile ni Mdg anaweza kujifunza akikubali kushuka na kuanza kuadoptHahaha
Angalia ukweli Dembelw ni aina ya wachezaji wa Chelsea siyo barcelona mchezaji gani wa barca hana unyumbufu kabsa
Hahahaa! No man kwa yule bado sanaa
Ashuke wapi mkuuDogo ana kazi ya kuadopt mfumo wa Barcelona. Kwa vile ni Mdg anaweza kujifunza akikubali kushuka na kuanza kuadopt
Yani nyie mnajificha kwenye kivuli cha UCL ila mtakapofungwa na Liver ndo mtajua msimu huu mmeharibu.Wivu ni Kitu kibaya masikini hawezi kuwa tajiri kwa kuchukia matajiri." Ati mna rob" hata aibu hauoni wewe Roma kakutoa,juve alikunyoa season iliyopita uwezo wa team yako unaishia laliga kiufupi wewe ni village champions ,team inatoa bingwa wa ufaransa, bingwa wa italy ,bingwa wa German ati mna rob, wewe ulimtoa bingwa wa england mchovu ambae season hii hata Top four hayupo .Barça ni village champions
Akubali kufundishika asijione superstar.Ashuke wapi mkuu
Ila kocha anatakiwa kumpa muda mwingi ili awe na confidence mkuuAkubali kufundishika asijione superstar.
Dembele ni mchezaji mzri sana na kwa umri wake atatusaidia sana Barca lakini lazima akubali kuadopt mfumo wa barca