Bado 4 goals in 2 games-Barca are just awesomeTajiri mmoja Spain amwaahidi Barca atawapa Euro million 5 kama watafikisha goal 100.Barca wanahitaji goal 9 katika match 3 zilizobaki. Velverde amefahamishwa na board kwamba hii hela lazima ipatikane hata ikiwezekana apange striker watupu.Inasemekana huyo tajiri amebet Barca kupata goal 100 na he stands to win Euro million 15.
Kazi ya yerri mina hiyoo, wanaonyesha uwezoAsante dembele , you have earned my vote of confidence
5-1Dembélé! Barcelona 4-1 Villarreal
Piga babaaaaa
Leo tumepigaTajiri mmoja Spain amwaahidi Barca atawapa Euro million 5 kama watafikisha goal 100.Barca wanahitaji goal 9 katika match 3 zilizobaki. Velverde amefahamishwa na board kwamba hii hela lazima ipatikane hata ikiwezekana apange striker watupu.Inasemekana huyo tajiri amebet Barca kupata goal 100 na he stands to win Euro million 15.
. katika game 2 silizosalia tunahitaji kupiga
tu. Huyo tajiri azipeleke tu benki maana namna nyingine...Double for Dembélé! Barcelona 5-1 Villarreal
Asanteee baba waongezeee
Leo kapigaBaada ya kukosa namba kikosi cha kwanza licha ya kununuliwa kwa bei mbaya, Jurgen Klopp amemuita Ousmane Dembele katika kikosi cha Liverpool.
Dembele alijiunga na Barcelona kwa Pauni95 milioni, lakini ameshindwa kuvaa viatu vya Neymar aliyetimkia Paris Saint Germain (PSG).
Klopp anamtaja mshambuliaji huyo wa zamani wa Borussia Dortmund ni mchezaji mwenye kiwango bora anayestahili kucheza Liverpool.
Dembele aliyepata maumivu ya misuli iliyomuweka nje uwanja muda mrefu, hajarejea katika kiwango chake.
Dembele mwenye miaka 20, ameshindwa kuendana na aina ya mfumo wa Barcelona tangu alipotua Now Camp katika usajili wa majira ya kiangazi.
Kocha huyo wa Liverpool anataka kumsajili Dembele kuboresha safu ya ushambuliaji.
“Dembele kwani yupo sokoni? Ndio ninamtaka,”alisema kocha huyo aliyewahi kuifundisha Dortmund.
Mchezaji huyo anakabiliwa na mazingira magumu Barcelona, baada ya kucheza mechi moja ya ligi kwa dakika zote licha ya kuanza katika michezo tisa akiwa amefunga bao moja.
Barcelona imeanza mkakati wa kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann majira ya kiangazi
Mkuu.Point sana Mkuu. Neymar akafie mbali 2Hua siwaelewi watu wa aina yako.
Neymar anacheza left wing, Dembele anacheza right wing, Coutinho ni midfielder.
Sasa sijui hua mnafikiria nini kusema Dembele au Coutinho wameletwa kuziba pengo la Neymar!
Dembele na Coutinho wamekuja kwa sababu Barca ina mapungufu maeneo hayo ya midfield na wing ya kulia.
Pengo la neymar bado halijazibwa, ndio maana wing yetu ya kushoto bado haina uhai.
watu wa aina hii shida sanaNaona fans wengi wanasahau kwamba Neymar,msimu wa kwanza hakuwa Barca material-but what followed the next season he blitzed the soccer world
Niliumiaga kalivyo ondoka lakini ndiyo hivyoPoint sana Mkuu. Neymar akafie mbali 2
Mpaka sasa hana mpinzani, Spain na Ulaya nzimaOy oy karinye karinye ndani ya nyumba kama kawaida
Kijiwe cha home game iko Camp Nou
Messi anaivizia golden boot na zimebakia match tatu anaongoza bara zima la ulaya
Lets compaign it
Majina ya Mama Zao, Wamezivaa kuazimisha siku ya mwanamke nchini Spain kama sikosei MkuuHizi jezi vipi majina?
Goli la pili tamu sanaLeo kapiga![]()
Mkuu.
Ile run siyo ya sayari hii Mkuu. Kifupi tusimuuze huyu dogo atalipa soon yaani...Goli la pili tamu sana
