FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wivu ni Kitu kibaya masikini hawezi kuwa tajiri kwa kuchukia matajiri." Ati mna rob" hata aibu hauoni wewe Roma kakutoa,juve alikunyoa season iliyopita uwezo wa team yako unaishia laliga kiufupi wewe ni village champions ,team inatoa bingwa wa ufaransa, bingwa wa italy ,bingwa wa German ati mna rob, wewe ulimtoa bingwa wa england mchovu ambae season hii hata Top four hayupo .Barça ni village champions
Kwanini usingeanza kujitaja wewe kwanza kwenye list hiyo? Acha uongo wako, game zote 2 uefa mmebebwa dhidi ya Bayern. Mbereko ndiyo imewafikisha hapo mlipo.

Kifupi subiri kipigo cha mbwa Mwizi leo. Hujakaa sawa tarehe 26 kipigo kingine kinakuhusu. Msimu huu huna kikombeee hata chembe, *****....
 
Sio hatumuheshimu, Lakini hawezi kupewa heshima ka aliyopewa Iniesta na wana Madrid, kwa sababu hana mpira wa ladha ni sawa na Suarez.
Angalia mechi dhidi ya Bayern alivyocheza pembeni alikua anadhurula tu. Ukishindwa kufunga Fanya basi hata assist.
He is 33 mnadhani anaweza cheza kama ana miaka 26 tena.
Unamsema kwenye mechi ya Bayern wakati mechi ya juventus walimpa hehsima kama hiyo

Na kwenye UCL ana Assitis nyingi kuliko Messi
 
Za kufizia fizia na kubahatisha, ukiona hivo kiwango cha kuvizia goli huwaga kiko juu kanapocheza uefa. Ndo maana.
 
He is 33 mnadhani anaweza cheza kama ana miaka 26 tena.
Unamsema kwenye mechi ya Bayern wakati mechi ya juventus walimpa hehsima kama hiyo

Na kwenye UCL ana Assitis nyingi kuliko Messi
Sio kigezo mbona Iniesta ana miaka 24
 
Iniesta na Ronaldo wap na wap jaman?
Lengo nilitaka nikuoneshe kua Ronaldo ubora wake upo kwenye kufunga, Lakini hana kingine cha ziada. Angekua na kingine cha ziada umri sio kigezo sana mbona magoli anafunga kama umri ndo kigezo. Japo umri unaweza unaweza kwa sehemu lakini ukweli ni kwamba Ronaldo timu ikipoteneana anakua hana msaada nae anadhurula tu tofauti na Messi ana offer vitu vingi.
Ronaldo ana ubora wake lakini Messi ana offer vitu vingi bora.
 
Zaid ya magoli na Assist Messi ana offer nn?
Maana ndio Ronaldo anavyo offer. Kwani kwenye game ya Roma Messi ali offer nn

Mwaka jana game za juventus zote mbili Messi ali offer nn?

Huwez tumia mechi moja ya Bayern kumhukumu Ronaldo kaka
 
Najua wewe hapo umeshamaliza mifano kwa messi.
Angalia msimu ulivyokua unaanza Madrid walivyokua hawafanyi vizri, Ronaldo hakufunga hata goli kwenye mechi tano
 
Sema Ronaldo alikuwa hafanyi vzuri
Yaan asipo fanya vzuri yeye tim inashuka. Pia alikuwa na fatique mwaka hana kacheza mechi nyingii sana.
 
We unamfuatilia Ronaldo anapofunga. Lakini ukweli ni kwamba,Ronaldo hawi bora timu inapokua haifanyi vizr. Messi ni Mara nyingi timu isipofanya vizri yeye anaibuka. Messi ana assist, anachezesha timu, anafunga, anadrible nk. Kati ya hivyo Ronaldo anafanya kimoja tu kufunga
 
Umegeuza
Ronaldo asipokuwa bora timu haifanyi vzuri
 
Duuh,,ile match na Roma ilikuwa ngumu kumeza aisee,shockwave niliyopata mpaka leo sija recover-lets hope team itafanya amends leo na kumuweka RM katika nafasi yake
Usjali na mechi ya leo itakuwa ngumu kumeza vile vile
Jiandae
 
I wish history rewrite itself once more.
Screenshot_2018-05-06-18-38-40.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom